Asante kwa masahihisho.Aliongoza hakutawala, hatuchagui mtawala bali kiongozi. Rekebisha hapo.
Asante kwa masahihisho.Aliongoza hakutawala, hatuchagui mtawala bali kiongozi. Rekebisha hapo.
Loyal sio Royal.Ni mtu ambae amekaa kwenye system mda mrefu pia kua Rais wa Tanzania na
kutengeneza marafiki wengi kwenye system ambao wako royal kwake nje ya nchi inakiwa huwe umejipanga kweli kweli nje ya nchi ana system na marafiki kweli kweli tunasema ulaya mpaka MUNGU mapenzi yatimie huyu amepita jeshini then akaja kua Rais na amekua waziri wa sekta zote nyeti na Pia ana ukwasi anaweza mnunua yoyote yule
Ni takataka nyingine ya masjidSidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70
Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari.
Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026.
Ingawa file lake ni zito ni zito mno mno.
Who si Kikwete je Kikwete ni nani tunaomba historia yake kwa mtu anayemjua vizuri kabla hajaondoka madarakani.
Chanzo cha oct 29Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70
Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari.
Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026.
Ingawa file lake ni zito ni zito mno mno.
Who si Kikwete je Kikwete ni nani tunaomba historia yake kwa mtu anayemjua vizuri kabla hajaondoka madarakani.
Huyo ndo adui namba uno wa hii nchi
Kajikimbikizia kiasi gani(namba)?Ni mtu mwenye tamaa ya kujilimbikizia mali kwa kiwango cha kufuru.
Jakaya Mrisho Kikwete wewe mzee una tamaa ya kupitiliza.
Mwenyezi Mungu hakututendea haki Watanganyika kumfanya huyu mtu awe miongoni mwa wazawa wa hii Nchi.
Na kama itamfaa basi atuondolee huyu mja maana tumemchoka.