Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,580
mpaka dakika hii hakuna dalili yoyote kwa wewe kutembea uchi.
kuwa bungeni kwa zitto ndio chanzo cha ufisadi wa maCCM? mbona hueleweki?
sasa tukichoma bunge si hasara nyingine? ukiibiwa bora hata ungesema tuwachome wabunge. Ukiibiwa unachoma mwizi sio, sio mali zako tena.
Halafu mambo ya kutembea uchi tena jitahihidi iwe usiku, mchana watoto wetu mkuu watakosa amani kuona viungo vya uzazi vya mtu mzima.
Na Mimi Pinda akipona nakunya barabarani
Mbona una kiherehere kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
nasikia wezi wengi ni wakristoTunaisubiri itole rasmi, wengi watakuwa disappointed.
kweli kabisa ngoja itole rasmiTunaisubiri itole rasmi, wengi watakuwa disappointed.
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima.
Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi.
Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Fatilia mjadala utaelewa hayo majibizano ni kwanini. Ripoti si anayo Zitto sasa hivi kama Mwenyekiti wa PAC, au sivyo? na Zitto yupo bungeni kama mbunge wa chama kipi?
Ukitembea uchi tutakupaka mafuta kwenye tundu lako la kutolea mbolea aina ya mboji na kufumiwa malinda hayo
Na Mimi Pinda akipona nakunya barabarani
Hebutuachane na habari za nani niwachama gani hapa. Tushauriane hiimijizi ikipotezea hii ishu tuchukue hatuagani full stop!!!.
Siwezi kumtuhumu mtu kuwa mwizi bila ya kuona ripoti ya uchunguzi na kumsikiliza anaetuhumiwa kama yupo.[/QUOT Kamahuwezi hata kutuhumu basi hutaweza pia kumkamatamwizi.
Siwezi kumtuhumu mtu kuwa mwizi bila ya kuona ripoti ya uchunguzi na kumsikiliza anaetuhumiwa kama yupo.[/QUOT Kamahuwezi hata kutuhumu basi hutaweza pia kumkamatamwizi.
Tuwache sheria ndio zihukumu. Hatuna haki ya kumtuhumu mtu kabla hatujaona ripoti.
atafuna alichopanda tumbili mkubwa werema