pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,244
Ndugu yangu usijiapize, serikali hii nni ya kuteteana siku zote hasa ktk mambo ya uFISADI kwa hiyo usitegemee miujiza hata kidogo.
Na Mimi Pinda akipona nakunya barabarani
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Bunge halina madaraka/mamlaka ya kumuwajibisha Werema (AG), mwenye madaraka ya kumuwajibisha Werema ni RAIS!
Bunge linayo madaraka/mamlaka ya kumuwajibisha RAIS au Waziri Mkuu lakini sio AG
MWIZI ni wewe na Kafulila..siku zote anayelia sana msibani ndiye aliyeua..sasa ninyi mmemkamia Jaji werema kwa sababu mnajua kuwa nini ni wazushi.. Halafu unatishia nyau ati utatembea uchi...thubutuuuu...kama hujajikuta upo mirembe unaolewa na midume
sawa mkuu, ila ni bora hilo bunge lichomwe kwa kuwa halina faida yoyote kwa watanzania. ikiwa wabunge wanaoketimo hawawezi kutusaidia kumuwajibisha MWIZI kuna haja gani ya kuwepo kwa hiyo 'white elephant'? inauma sana kuona jinsi mafisadi yanavyotafuna fedha za umma wakati wakifa muhimbili kwa kukosa dawa!
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Escrow itaondoka na wengi sana, PM, AG, Tibaijuka, Ngeleja, Maswi, Jaji cjui nani, wafanyakazi wa BOT, Chenge....na wengine..!!!
sasa tukichoma bunge si hasara nyingine? ukiibiwa bora hata ungesema tuwachome wabunge. Ukiibiwa unachoma mwizi sio, sio mali zako tena.
Halafu mambo ya kutembea uchi tena jitahihidi iwe usiku, mchana watoto wetu mkuu watakosa amani kuona viungo vya uzazi vya mtu mzima.
naunga mkono hoja 100%
Zitto anataka hogo hapa kwenye siri, haka kajamaa ni ka chichidodoWewe anza kuchojoa, tayari tumeshasikia mahojiano ya takua ya siri, wenye akili wanajua nini kinafuata na mazingira gani yana tengenezwa hapo.