Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Siwezi kumtuhumu mtu kuwa mwizi bila ya kuona ripoti ya uchunguzi na kumsikiliza anaetuhumiwa kama yupo.

kwa hiyo zile pesa hazijachukwapuliwa na mtu, bado zipo kwenye escrow a/c? ina maana unataka uone nini ndipo uamini kwamba fedha zimechotwa? ulitaka hizo fedha zihifadhiwe kwenye p@puc*i yako ili kwamba zikichotwa ujichungulie uone hazimo ndio upate ushahidi?
 
IPTL wanafanya kazi ya kuzalisha umeme na kuwauzia TANESCO ni lazima walipwe.

Mpaka sasa ripoti ya CAG na PCCB sijaziona, kwanini nianze kuonyooshea watu vidole?
 
IPTL wanafanya kazi ya kuzalisha umeme na kuwauzia TANESCO ni lazima walipwe.

Mpaka sasa ripoti ya CAG na PCCB sijaziona, kwanini nianze kuonyooshea watu vidole?

punguan wahed wewe! kwa hiyo, watu wote wanaopaza sauti kuwataka wezi warudishe fedha zetu ni machizi? ni kwa sababu ya uwepo wa matutusa kama wewe ndio maana nchi hii haiendelei.
 
punguan wahed wewe! kwa hiyo, watu wote wanaopaza sauti kuwataka wezi warudishe fedha zetu ni machizi? ni kwa sababu ya uwepo wa matutusa kama wewe ndio maana nchi hii haiendelei.

Kwani Dowans si mlipega kelele sisi tukawaambia hao wametoa huduma mtawalipa tu, hata iende mahakama ipi duniani. Matokeo?

Na IPTL wanatoa huduma mpaka leo na msifikiri ni bure zile. Walikuwa wazuri pale tu mlipokuwa na shida?
 
Siku ambayo wahuni wataanza kunyea debe ndio mtafahamu maana ya Tanzania.
 
Siku ambayo wahuni wataanza kunyea debe ndio mtafahamu maana ya Tanzania.

Mkuu Wacha1 nchi hii ni ngumu sana kuishi. CCM ni kama chatu lililoingia ndani ya nyumba...hakuwezi kulalika hadi chatu liuliwe. hivyo hivyo, nchi hii haiwezi kuendelea kamwe ikiwa CCM wataendelea kushika usukani wa uongozi beyond 2015.
 
Last edited by a moderator:
Usijiapishe kupita kiasi katika nchi ya TZ, maana ni sawa na kujiapiza kwamba ukiamka hai kesho asubuhi utajitoa kujiua kwa kujichoma kisu kifuani. Viongozi wa Tanzania ni wasanii wazoefu hakuna mmoja aliyepona. Kama wangekuwa wanatoa muvi za usanii wao TZ ingekuwa ya kwanza duniani kwa ubora wa usanii wao. Mshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa Mungu peke yake ndiye anayeweza kuanika wabovu wote hadharani kuwatia aibu siku yao ikifika.
 
sasa tukichoma bunge si hasara nyingine? ukiibiwa bora hata ungesema tuwachome wabunge. Ukiibiwa unachoma mwizi sio, sio mali zako tena.
Halafu mambo ya kutembea uchi tena jitahihidi iwe usiku, mchana watoto wetu mkuu watakosa amani kuona viungo vya uzazi vya mtu mzima.

Akitembea uchi yeye ndo "kichaa " kabisa, awaze hatua zingine za kuchukua.
 
ndugu yangu sema unapenda kuembea uchi tu. viapo vingine sivyo

ndugu zangu, naomba kuwatangazia kwamba kiapo changu cha kutembea uchi kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni, hakitekelezeki tena kwa kuwa MWIZI amekubali kuwajibika kwa ufisadi alioufanya. naomba sasa nipandishe suruari yangu nifunge zip nianze kutembea mjini kwa heshima. asante PAC, asante Zitto na Filikunjombe kwa kutukaangia WEZI!
 
Amekubali wapi?
 
sasa tukichoma bunge si hasara nyingine? ukiibiwa bora hata ungesema tuwachome wabunge. Ukiibiwa unachoma mwizi sio, sio mali zako tena.
Halafu mambo ya kutembea uchi tena jitahihidi iwe usiku, mchana watoto wetu mkuu watakosa amani kuona viungo vya uzazi vya mtu mzima.

Mwizi hukatwa mkono kwa sheria ya dini ya kislamu, kama muislamu ahukumiwe kwa dini yake
 
Hakika ndugu werema akisoma uzi huu atagundua kwamba nchi hii kuna watu wanajua mambo , usipime ! Pole sana werema wadau walijua utang'oka tu !
 
Je bado post hii ina nguvu ?
Itakuwa na nguvu kwa kuwa baada ya Werema kulazimika kuandika barua ya kujiuzulu kwa Rais na kujiuzulu huko kukubalika, tafsiri yake ni kuwa mkuu tpaul amenusurika kutembea uchi toka Pugu hadi Kivukoni, iwapo tu Jaji Werema angegoma kabisa kujiuzulu na bosi wake angeshindwa kumtimua kazi!
 
Hongera tpaul ! Ulijifunga pingu kali sana. Ni uzalendo uliojuu sana....twende ivyo kuelekea 2015...mangamba yatoweke kabisa.
 
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.

Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima.

Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi.

Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!

Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.

:israel:

Nasubiri kuona size ya utupu wako, nitakutafuta mkuu!
 
Back
Top Bottom