Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Yaani huyu werema ana kiburi,dharau,majivuno,majigambo,matusi na bado hakuna wa kumfanya kitu
 
Ripoti iko wapi?

ripoti ipo kwa PAC na tayari 'yaliyomo' yameishatapakaa nchi nzima kasoro hapo Lumumba tu. hebu jaribu kuachia hiyo PC mara moja utoke nje utaipata ripoti husika. kwani ripoti ndiyo kibali cha ufisadi?
 
Nape aliwahi kusema Kikwete akiwa rais atahama nchi. Siyo tu hakuhama ila ni katibu mwenezi wa chama tawala. Hayo matamko hatuyaamini.

mkuu, maCCM hayaaminiki na wala sio majitu ya kuyaamini hata kidogo.
 
Nadhani mpaka saa hii utakuwa umeshateremsha suruali umeshaanza kutoa ile ingine ya ndani tayari kutekeleza kiapo chako
 
Hii nchi yetu bana iache kama ilivyo utaja shangaa akabaki na asifanywe chochote,kuandamana kwa sisi watanzania bado sana aisee uoga umetujaa sana,tutabaki tunalia tu ndani kwa ndani
 
ripoti ipo kwa PAC na tayari 'yaliyomo' yameishatapakaa nchi nzima kasoro hapo Lumumba tu. hebu jaribu kuachia hiyo PC mara moja utoke nje utaipata ripoti husika. kwani ripoti ndiyo kibali cha ufisadi?

Tunaisubiri itoke rasmi, wengi watakuwa disappointed.
 
Zitto angekuwa na adabu kama mnyika kwa viongozi wake angeweza kuja kuwa rais wa jamuhuri
 
Tunaisubiri itole rasmi, wengi watakuwa disappointed.

akina nani watakuwa DISAPPOINTED? kwani wewe hautakuwa disappointed maana tangu zamani umekuwa ukitetea UFISADI huu? je, wewe ni mmojawapo wa wale watakuwa disappointed ikiwa mafisadi wataadhibiwa kwa kukwapua fedha za umma (na wewe ukiwa miongoni mwa umma huo)? ni lini maCCM mtaacha kutetea mafisadi?
 
Mimi nalia na uzalendo wa jeshi letu ! Wanaona nchi inavyotafunwa wao wamekaa kimya kama Hawaoni ! Naumia Sana Na mwenendo huu wa ufusadi na wizi wa wanasiasa ! Nani atakuja kusafisha kizazi hiki!

Daaaaaaah haojamaa siokabisa ,nisawa na kuhifadhi petrol jikoni.
Mm naona tuachane na tabia ya kuchoma moto vibaka wa Nokia ya toch, hawa mafisadi ndio wa kuchoma ndani ya maprado yao, tukipata wa tatu tu WATAKOMA.
HIYO NDIO PEOPLE'S POWER.
 
Utaonekana mwendawazimu tuu!!!! ukiongozana na wendawazimu wenzako!!!! bakora nyingi na za kutosha ndiyo dawa ya wendawazimu......
 
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.

Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima.

Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi.

Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!

Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.

:israel:

Werema ana kiburi cha uzima.
 
Back
Top Bottom