Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

mkuu tpaul werema atapona kwa hili na usishangae akiteuliwa kuwa jaji mkuu kabisa, na jina atabadilisha sasa atamuita kafulila nguruwe.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wasira kuwa vijana wanavuta bangi
 
sawa mkuu, ila ni bora hilo bunge lichomwe kwa kuwa halina faida yoyote kwa watanzania. ikiwa wabunge wanaoketimo hawawezi kutusaidia kumuwajibisha MWIZI kuna haja gani ya kuwepo kwa hiyo 'white elephant'? inauma sana kuona jinsi mafisadi yanavyotafuna fedha za umma wakati wakifa muhimbili kwa kukosa dawa!
kweli umekasirika lakini tuungane tuwachome wabunge siyo jengo la bunge. Hebu fikiri zaidi kuhusu jambo hili!
 
nimesema huyo mwizi afukuzwe kazi na afungwe jela. hakuna haja ya kuwaonea huruma WEZI. katika skandali hii lazima WEZI wote watenganishwe na TUMBILI ili haki itendeke.

Haikufanyika kwenye rada, mpaka leo kagoda haijakamatwa, wa EPA ndio hao kila siku wanaachiwa,....KWA NINI HII? Nothing will happen, cha muhimu tujipange kupiga kura uchaguzi ujao, hilo tu!
 
Umeandika kikakamavu sana ! Bila shaka wewe ni mzalendo halisi .
 
Mimi nalia na uzalendo wa jeshi letu ! Wanaona nchi inavyotafunwa wao wamekaa kimya kama Hawaoni ! Naumia Sana Na mwenendo huu wa ufusadi na wizi wa wanasiasa ! Nani atakuja kusafisha kizazi hiki!

Jeshini kungekua na CAG anapita naamini wangekua wanahasira sema tu mkuu huko hakukaguliwi.Ujue huko kuna madudu makubwa na kutisha ww unafikiri wangekaa kimya hivi kama na wao hawamufaiki????

chezea jeshi ww????

au unalisema jeshi la mgambo
 
Last edited by a moderator:
Tpaul

Hivi taarifa imeshatoka? Mimi sijaiona, naomba kama unayo utuwekee hapa na sisi tuisome. Usitushawishi kuandamana wakati hatujui uchunguzi umebaini nini. Wajaja hawachukulii tetesi kufanyia maamuzi magumu
 
Wakubwa, hiyo taarifa ya ukaguzi uliofanywa na CAG na PCCB umeshawekwa hadharani? Usitushawishi kuandamana uchi kwa tetesi. Wajanja hatufanyi maamuzi magumu kwa tetesi za mitaani. Naomba utuwekee taarifa kama unayo
 
Tpaul

Hivi taarifa imeshatoka? Mimi sijaiona, naomba kama unayo utuwekee hapa na sisi tuisome. Usitushawishi kuandamana wakati hatujui uchunguzi umebaini nini. Wajaja hawachukulii tetesi kufanyia maamuzi magumu

mkuu NAMBEKE, WEZI wote wameishamulikiwa. orodha ni ndefu ila mapapa wao ni Werema, Muhongo, Maswi, Pinder na Ndulu. hawa ndio mastering wakuu ktk hii skandali.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nalia na uzalendo wa jeshi letu ! Wanaona nchi inavyotafunwa wao wamekaa kimya kama Hawaoni ! Naumia Sana Na mwenendo huu wa ufusadi na wizi wa wanasiasa ! Nani atakuja kusafisha kizazi hiki!
Hata mi nahis jesh letu halipo na mwananchi...kwa min wasiiondoe CCM?
 
hivi huyu jamaa alikuwa judge kabisa before kuwa AG?! hukumu zake zilikuwaje maake anaonekana hana hekima kabisa
 
mkuu NAMBEKE, WEZI wote wameishamulikiwa. orodha ni ndefu ila mapapa wao ni Werema, Muhongo, Maswi, Pinder na Ndulu. hawa ndio mastering wakuu ktk hii skandali.

Nitafurahi sana kusikia wanaburuzwa mahakamani pia,tumechoka kukatwa mikodi lukuki kumbe mijizi ndio hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Werema ajiandae kuwa tumbili yeye,kafulila andaa mkia mreefu maana tumbili mkubwa inabidi avae limkia likubwa kama mkonga wa TEMBO.
 
kwa utawala wa raisi dhaifu kama JK huu upepo unapita Werema utamwona anazidi kudonda ccm sina hamu nao umepata habari kuna mbinu ccm wameshaanzisha kuzima issu account ya Escrow kwa kusema kesi iko mahakamani kwa hiyo bunge haliwezi kuingilia mahakama nakuambia sisi wazalendo tunajiandaa kwenye dodoma wasipowajibisha wahusika basi lile bunge litakuwa halali yetu hatuwezi kuvumilia huu upuuzi wa ccm tena
 
Nape aliwahi kusema Kikwete akiwa rais atahama nchi. Siyo tu hakuhama ila ni katibu mwenezi wa chama tawala. Hayo matamko hatuyaamini.
 
Back
Top Bottom