Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

Pamoja sana mkuu. Kwa jinsi hali ilivyo, kuna kila dalili kwamba hata PM huenda akaenda na maji...hali ni mnaya sana kule Lumumba. Ukimuuliza MwanaLumumba yeyote kati ya hawa Mingoi, MwanaDiwani, MSALANI, East African Eagle, Ritz, mjepo, Mamndenyi, laki si pesa, Agogwe, lusungo, Queen P, gsu, Simiyu Yetu, thatha, Nape Nnauye atakuambia kwamba hali ya Lumumba kwa sasa hivi ni tete sana. Baada ya TUMBILI mmoja kuachia tawi na kuuaga msitu, tumbili waliosalia hawalali usingizi.

Acha uongo.....
 
Last edited by a moderator:

Katika hiyo list ndefu uliyoitaja, tayari kuna 'wapiganaji'. wao weshaasi na wamejitambua na kujiunga na jeshi la ukombozi la kulikomboa Taifa letu toka kwa mkoloni mweusi.

Nitakutajia wawili ambao tayari 'tushawavuna' ambao ni Lusungo na Mamndenyi!

Kadri siku zinavyoenda kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani, hiyo list ya Lumumba team itaendelea 'kupukutika' sana.

Tushukuru wengi wao sasa weshaanza kujitambua na kugundua kuwa kumbe ile kauli mbiu yao ya Chama 'chetu' kina wenyewé na wenyewe ndiyo 'sisi' kumbe ni changa la macho!

Wamegundua kuwa kumbe 'wenye' chama chao ni wale waliofikiwa na mgao wa Escrow wa biliionea Ruuge pale Mkombozi bank na wale waliosomba mabilioni pale Stanbic wakiwa na viroba na magunia ya lumbesa na kuyapakiza kwenye malori bila kuguswa na mtu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe bibi matezi dume yamekuathiri sn ubongo wako, kapime pengne umenasa kwny hyo saratani, sio bure

Akili zenu ndio zimefikia mwisho wa kufikiri, siwashangai sana, kwani hiyo inaonesha nyumbani kwenu ni uozo mtupu.
 
Mpaka sasa nakuponda, kwani ulikuwa hujuwi kuwa AG alishamaliza muda wake Oktoba 2014.

Muda wake wa kuwa AG au wa kuwa nani? Na huo muda aliokuwa akiutumia kutuibia rupia ulikuwa wa nani? kama muda wake ulikuwa umeisha ile barua aliyoandika kujiudhuru alijiudhuru nini? you mus be lunatic, my dear granny!
 
Kwa mwenye kuelewa, Werema kabla ya ripoti ya CAG, bungeni alikuwa anawasilisha majibu na akasema "bado mimi ni CAG mpaka sasa hivi". Hilo hakulisikia?

Fikiri.
 
Back
Top Bottom