Jaji Ndunguru anachekesha sana

Jaji Ndunguru anachekesha sana

Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.

1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa kwenye assumptions. Kwa maana hiyo, Jaji Ndunguru anatuambia ya kwamba Jamhuri walimshtaki Mh Lissu kwa kutumia ushahidi wa kufikirika usio kuwepo.

Hiki kama sio kichekesho ni Nini? Yani unasema Lissu ana kesi ya kujibu kwenye ushahidi wa assumptions?. Kwanini usinge itupilia mbali hiyo kesi kama hapakuwa na ushahidi wowote wa msingi?. Leo ndio umegundua ya kwamba ushahidi wa msingi haukuwepo, Sasa Lissu alikuwa anajitetea dhidi ya Nini? Kwa kweli Jaji Ndunguru wewe ni comedian wa hatari sana. Inafaa kuacha ujaji na kuwa mchekeshaji, ndio kazi inayokufaa.

2. Kichekesho cha pili, Jaji Ndunguru anadai kwenye hukumu yake ya kwamba mahakama imeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 na kuona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali.

Dah! Kwa hivyo Jaji Nduguru anadai ya kwamba Lissu hakuitisha serikali na Wala hakuna ushahidi Wala Nia ya kuonesha Mh Lissu alilenga kuitisha serikali. Sasa ndugu zangu huyo huyo Jaji anadai Mh Lissu hakuitisha serikali lakini aliichochea umma dhidi ya serikali. Hivi unaweza kuichochea umma dhidi ya serikali bila serikali kutishika?. Kwa hivyo serikali haikutishwa Wala kutishika ila uchochezi uliofanyika. Aibu sana.

Dah! Nduguru anachekesha sana kama sio Jaji kwenye kesi yako. Serikali haikutishika sawa, Sasa kama uchochezi haukulenga kuitisha serikali, hatia inatokea wapi?. Aiseeh!

3. Kichekesho cha tatu ndio kikubwa Zaidi, huyo Nduguru hata simuiti Jaji tena, anadai Mh Lissu amepatikana na kosa ndogo la uchochezi. Anadai kwenye ushahidi wake ya kwamba kwenye kesi ya msingi ya uhaini kulikuwa na vimelea vya uchochezi ambavyo vinaonesha kulikuwa na uchochezi na kwamba mshatakiwa hakuvipinga.

Ila Ndunguru amesahau ya kwamba Kuna kesi nyingine, dhidi ya Mh Lissu dhidi ya uchochezi, ipo kwenye mahakama ya Kisutu, tena ilikuwa imefika kwenye ushahidi. Na shahidi wa kwanza alikuwa ametoa ushahidi wake. Inakuwaje Tena Jaji anaileta kesi hiyo kwenye kesi ya uhaini?.

Anachekesha sana. Kimbelembele cha nini kuamua kesi ambayo ipo kwenye hatua ya ushahidi kwenye mahakama nyingine?. Ina maana DPP alitenganisha Uhaini na uchochezi ila mahakama inalazimisha kulileta kwenye kesi ya uhaini. Kwanini wasinge subiria kesi hiyo ya uchochezi Kisutu ifikie mwisho?.

Huyu comedian kapewa kesi ya uhaini ashughulikie kweli kaishughulikia kagundua ya kwamba hakuna uhaini, hapo hapo akarukia kesi ya Kisutu ya uchochezi ambayo haimhusu akidai Sheria inamruhusu kumhukumu mshitakiwa kwa kosa ambalo hajashtakiwa nalo, eti kosa dogo. Kosa dogo kivipi wakati DPP alitenganisha makosa yote mawili Kila Moja lijitegemee? Moja liendee mahakama kuu na linguine lisikilizwe mahakama ya Kisutu? Aiseeh ni kichekesho hiki.

Mwisho, niseme hivi, Ndunguru amefanya kazi ya kuisaidia Jamhuri kumtia hatiani Lissu wakati sio kazi ya mahakama kuanza kutafuta makosa kwa tochi ili tu mtuhumiwa apatikane na hatia. Mahakama zinatakiwa ziwe adversial zinaletewa kesi na kuamua sio kutafuta makosa ambayo hayapo kwenye mashtaka mbele yake. Niseme tu, Ile haikuwa hukumu Bali ilikuwa ni kichekesho tu. Namshukuru Mh Tundu Lissu kwa kumwambia ukweli huyo Ndunguru ya kwamba asome adhabu yake aliyoelekezwa na Samiah.
Wewe kwa akili zako ungemuhukumu KIFO.Hujui tu ugumu wa kufanya kazi za kijaji kwenye kesi za kisiasa zenye maslahi ya umma na mgandamizo wa mamlaka.Ulitaka ajitoe KAFARA?Yeye amefanya lile ambalo litamnususru TAL lakini litamuacha yeye salama sasa unaposema anachekesha naona wewe ni kichekesho.wajinga kama wewe ndio sababu TAL yuko JELA na Jaji Nduguru anashindwa kutoa hukumu ya haki kwa sababu kwenu mnafikiri ni series kama za kwenye TV ila yale ni maisha ya watu yapo hatarin.

ETI unaleta mbwembwe za kimnaga jaji wakati wewe hata Ujasiri wa kutoka nyuma ya ID hauna.Stupid
 
Hivi huo utaratibu uliotumika kwa Lissu kushtakiwa uhaini na kuhukumiwa kwa uchochezi, kisheria unatumika kwa makosa yote?
Maana kumbe unaweza kushtakiwa kwa kubaka ukaishia kuonekana hukufanikiwa kubaka ila ulikuwa na Vineland vya wizi kwenye tukio hilo?

Binafsi limenichanganya sana
Ndio, ni kweli Sheri inaruhusu kuhukumiwa kwa kosa ambalo hukushtakiwa nalo, ila Kuna vigezo viliwekwa na mahakama ya Rufaa. Kwanza lazima Jamhuri ioneshe Nia au kuiomba mahakama ifikirie kutumia kosa dogo kwenye Adhabu. Pili, lazima mshatakiwa apewe notisi ya kwamba mahakama inaweza kutumia kosa dogo kwenye kutoa adhabu na tatu lazima kosa dogo liwe sehemu ya kosa kubwa.

Sasa vigezo hivyo vyote havikutumika kwenye kesi ya Lissu.
 
Kwa kweli Nduguru katika Ulimwengu wa watu wenye hekima, ni takataka. Ni aheri hata yale mabaraza ya wazee, wanatoa hukumu zenye logic kuliko hiyo takataka ambayo imepewa jina la ujaji wakati hana sifa hata ya kuwa hakimu wa mahakama ya mwanzo! Jitu kama hilo lazima litakuwa limeitoa nafsi yake kuwa nyumba ya ibilisi shetani, ndiyo maana limepokonywa hata ile minimum logical reasoning. Lakini majitu kama haya yaliyoamua kuwa mawakala wa shetani, kuna siku yatajutia uovu wao, yatapenda siku zirudi nyuma ili yajisahihishe, lakini hakutakuwepo nafasi hiyo.

Mungu wetu wa haki, tunakushukuru unavyozidi kuwainika mawakala wa shetani ili kila mwenye akili timamu awatambue, ili hata siku ile ya laana yako juu yao itakapowafikia kusiwepo na wa kuuliza kwa nini wamepatwa na laana hiyo.
Kweli kabisa. Yule ni wakala wa shetani. Huwezi kufanya maamuzi kama Yale kama una hofu ya Mungu.
 
Ndunguru katika historia yake yote ya kuwepomahakamani, hajawahi kuwa mtu wa haki, ndiyo maana hata wauaji wakamteua awe upande wao kwani ndiyo asili yake.
Kweli kabisa. Walijua huyu sio mtu wa haki wakampa hiyo kesi.
 
From his utterances, it's without a doubt that the MO29 aftermath his burden.
Let it go..
You are misleading, when Lissu uttered those words who was incited ? You mean people kept calm in March when to those words were uttered and got incited when Lissu was already remanded in October? Let's be serious.
 
Wewe kwa akili zako ungemuhukumu KIFO.Hujui tu ugumu wa kufanya kazi za kijaji kwenye kesi za kisiasa zenye maslahi ya umma na mgandamizo wa mamlaka.Ulitaka ajitoe KAFARA?Yeye amefanya lile ambalo litamnususru TAL lakini litamuacha yeye salama sasa unaposema anachekesha naona wewe ni kichekesho.wajinga kama wewe ndio sababu TAL yuko JELA na Jaji Nduguru anashindwa kutoa hukumu ya haki kwa sababu kwenu mnafikiri ni series kama za kwenye TV ila yale ni maisha ya watu yapo hatarin.

ETI unaleta mbwembwe za kimnaga jaji wakati wewe hata Ujasiri wa kutoka nyuma ya ID hauna.Stupid
Andiko langu ni kubwa kuliko akili zako. Huwezi kuelewa chochote. Kwa hivyo Jaji anatakiwa atoe hukumu kwa kuangalia Sheria na ushahidi au kwa kuangalia uhai wake? Uwe inakaa pembeni kama hujui kitu. Shida nyie machawa wa CCM mnataka Kila mtu awe chawa. Wewe endelea na uchawa wako.
 
Ni lazima CCM na takataka zote zinazohusiana nayo ZIFE/ZITEKETEZWE.

Bila ya hivyo Tanzania haiwezi kupona kwa dawa yoyote ile.

Ni sawa na kama ilivyokuwa ikiteketezwa 'plague' wakati ule kabla ya mageuzi makubwa ya kitibabu enzi za zamani.
Kuimaliza ilibidi kuteketeza kila kitu kilichogusana nayo.
Kweli kabisa.
 
Andiko langu ni kubwa kuliko akili zako. Huwezi kuelewa chochote. Kwa hivyo Jaji anatakiwa atoe hukumu kwa kuangalia Sheria na ushahidi au kwa kuangalia uhai wake? Uwe inakaa pembeni kama hujui kitu. Shida nyie machawa wa CCM mnataka Kila mtu awe chawa. Wewe endelea na uchawa wako.
Wewe bwana,Unafahamu kitu kinaitwa Balance of Probaility kwenye Sheria?Unafahamu kwamba Jaji anapotoa Hukumu anazingatia nini?Unafikiri Kelele za kwamba ni Lissu zinamfanya afikiri tofauti?Wewe huu Ujinga auliandika hapa kwa unaonesha kwamba wewe ni Bushloya mwingine tu.Kwamba unatak Jaji atoe hukumu ya kukufurahisha wwewe ni ujinga wako?


Sasa elewe hivi,TUNDU LISU alitoa kauli husika na hilo hajalikataa,Tafsiri ya sheria iko wazi kwama kutoa kauli tata sio kosa ila sasa kisheria kuna technicalities ambazo jaji anabanwa nazo.Mfano Nikisema Hana Hatia JE tunaruhusu kauli hizo ziwe kawaida?Sasa kwa mbululas kama ninyi mnafikiri mngekuwa na uwezo wa kuamua tofauti kumbe mngekuwa majaji hata kesi mngeikimbia.
 
Inakuwa ngumu sana kwa Watanzania kupata international jobs na itakuwa mbaya zaidi huko mbele ya safari.
The elites kwa tamaa zao au ujinga wameamua ku compromise standards zao.
Ikitokea leo international firms zinahitaji majaji na mahakimu sidhani kama watampa thamani mtanzania.
 
Back
Top Bottom