Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Tutachanga tu bali upendo lakini x10 sio zinapatikana halafu unaniona nimepitwa na wakati hapo yaani mmmmmmmmhhh
Dhuuuuu nachoshukuru
Cjawah kuwa na wazo la
Aina hyo kwa ubongo asee

You are like my family
 
Dhuuuuu nachoshukuru
Cjawah kuwa na wazo la
Aina hyo kwa ubongo asee

You are like my family
Hapo tunafika bila hiyana yeyote, lakini shetani ananguvu ukilegea tu huyu hapa
 
Hapo tunafika bila hiyana yeyote, lakini shetani ananguvu ukilegea tu huyu hapa
Hapana kabsa nakaza nlipoanzia
Mwanzo mpaka mwisho

Swez kulegeza kamba katkak ya
Bahar kwan ntazama kizembe
Sana
 
MIMI NINACHOAMINI

K LYN ANAENJOY KUTUMIA PESA ILA SYO MAHABA

KWAMBA K LYN HATAMAN UTAMU WA RIKA LAKE?
 
Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Nani ka kwambia kuwa matajiri hawali ugali au dagaa? Hiyo ni fikra moja negative masikini akitajirika ndo anakula burger na kyeepe ana kusumbia wengine.
 
Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Hivi mpaka leo unaamini dagaa na kisamvu ni chakula cha watu masikini? Dah tupo nyuma sana!
 
View attachment 727562 Aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Jacqueline Ntuyabaliwe, mwaka 2015 alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara mkubwa na maarufu Tanzania, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP Media, Dk. Reginald Abraham Mengi

Jacqueline siku ya leo akiwa anasherekea miaka mitatu ya ndoa yake ameandika ujumbe mzito kwa mume wake Regnard Mengi ambaye tayari amemzalia watoto.

Amesema ”You’re my everything,I couldn’t have asked for a better man to call my husband.Thank you for spending your life with me and thank you for a beautiful love.Happy Anniversary to us.❤”.

Akimaanisha, Wewe ni kila kitu kwangu, siwezi kutaka mwanaume mwingine na kumuita mume wangu. Asante kwa kutumia/kuishi maisha yako na mimi, asante kwa upendo wako mzuri. Heri ya siku ya maadhimisho ya ndoa yetu.

Jacqueline amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa instagram, huku maneno hayo yakiwa yameambatanishwa na picha mbili za kumbukumbu ya siku ya harusi yao.

Jacqueline na Mume wake Mengi walifanya sherehe hiyo nchini Mauritius, ambapo ilihudhuriwa na watu 50 tu ikiwa ni ndugu na marafiki wa karibu wa wawili hao.

Harusi yao ni moja kati ya harusi kubwa na za kifahari zilizowahi kufanywa na watanzania.

Mungu aibariki ndoa ya wawili hao, wakapate kuishi milele na kutenganishwa na kifo pekee.


Chanzo: Dar 24
Tuzitafute pesa kwa udi na uvumba wadhani kama huyo mzee angekuwa ananuka ugoro au tumbaku (gosso)angepewa busu zito mbele ya hadharal watu?
 
Back
Top Bottom