Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Hahahah
Ndio.maana watu wanaangukaga kwenue mazoez tunafanya mazoezi na mawZo braza
Haya yote dada zetu hawa wana sababisha.
Ha haa aiseee na hawana hata
Huruma Sasa ukienda mazoez
Na ukose Dolla lazma wakuchapie

Ukipata pesa na uende kimoja
Bingwa utachapiwaaa

Balaaaa
 
Ha haa aiseee na hawana hata
Huruma Sasa ukienda mazoez
Na ukose Dolla lazma wakuchapie

Ukipata pesa na uende kimoja
Bingwa utachapiwaaa

Balaaaa
Ila braza bora wakuchapie ukiwa nazo.

Usha wahi mkuta mtu mwili jumba lakin ana lia kisa mapenzi [emoji23] ?

I choose money kaka
 
Mie ni safi, nilikuwa nimeaga lakini nikaamua nije nikusalimie kabla sijaenda pumzika, je umepona!
Nashukuru Kwa kujali mda
Wako Kwa kuja kunijulia hali

Aiseee nmepona ashukuriwe
Baba alie juu hakika maombi
Yako yalipokelewa saa na SC ulioomba
 
Ila kuna mda ukimuungalia Jacky unaweza piga moyo konde aiseee ..... Maisha ndo haya haya kama mapenzi ushafanya saana nini tena unataka!!!! Bora umpumzikie kwenye pesa hata kama mtu unashindwa kumuangalia usoni [emoji855][emoji855][emoji855]
Hahahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unshindwa mtizama usoni[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Ila braza bora wakuchapie ukiwa nazo.

Usha wahi mkuta mtu mwili jumba lakin ana lia kisa mapenzi [emoji23] ?

I choose money kaka
That is true bro ukichapiwa na uwe nazo
Haiumi sana maana na ww unaweza
Kwenda kuchapa wa mwenzio

Fa kasema haipunguz maumivu
Ila inarudisha had ya kiumen

Pesa ndo maisha walaaaaah
 
Nashukuru Kwa kujali mda
Wako Kwa kuja kunijulia hali

Aiseee nmepona ashukuriwe
Baba alie juu hakika maombi
Yako yalipokelewa saa na SC ulioomba
Amina kubwa, usiku mwema
 
That is true bro ukichapiwa na uwe nazo
Haiumi sana maana na ww unaweza
Kwenda kuchapa wa mwenzio

Fa kasema haipunguz maumivu
Ila inarudisha had ya kiumen

Pesa ndo maisha walaaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umepiga point hapa
 
Lkn kwang najua utakuja tu na roho
Moja tuzchange wote
Tutachanga tu bali upendo lakini x10 sio zinapatikana halafu unaniona nimepitwa na wakati hapo yaani mmmmmmmmhhh
 
Back
Top Bottom