Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Hahahah
Halaf mimi btanyang'anya mke wa kinana mmoja
Kuonesha uwezo tuu. Pesa bhana kweli inanunua mahaba
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] nakwambia pesa sabuni ya roho wanasema wanyenyua vyuma wataishia kuwa mabodigad wa wenye pesa zao na warembo wao
 
Braza yule sanders wa KFC alikuja kytoboa akiwa na 80, sasa na mimi hata nikiwa nina miaka 90
Natafuta ka klynn kangu
Haa haa na kwel aiseee
Ka kyln kanakozaliwa Sasa
Hv kajiandae kabsa ukifkisha
90 unakabeba juuu juuu
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] nakwambia pesa sabuni ya roho wanasema wanyenyua vyuma wataishia kuwa mabodigad wa wenye pesa zao na warembo wao
Hahahah
Yes, kuna jamaa yangu alikuwa ana niambia "asee braza Gym twende ila tusosahau kutafuta dollar." [emoji23]

Vijana wanaumizwa sana hapa town yaan
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kijana uko gym lkn
Bado anawaza Dolla

Kweli men tumeumbwa mateso
 
Ila kuna mda ukimuungalia Jacky unaweza piga moyo konde aiseee ..... Maisha ndo haya haya kama mapenzi ushafanya saana nini tena unataka!!!! Bora umpumzikie kwenye pesa hata kama mtu unashindwa kumuangalia usoni [emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ndio.maana watu wanaangukaga kwenue mazoez tunafanya mazoezi na mawZo braza
Haya yote dada zetu hawa wana sababisha.
 
Ila kuna mda ukimuungalia Jacky unaweza piga moyo konde aiseee ..... Maisha ndo haya haya kama mapenzi ushafanya saana nini tena unataka!!!! Bora umpumzikie kwenye pesa hata kama mtu unashindwa kumuangalia usoni [emoji855][emoji855][emoji855]
Wadada wengi sana wanataman
Hii lkn ndo hvo Bahat n ya mmoja
 
Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Matembele, mwidu, sukuma wiki....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ila kuna mda ukimuungalia Jacky unaweza piga moyo konde aiseee ..... Maisha ndo haya haya kama mapenzi ushafanya saana nini tena unataka!!!! Bora umpumzikie kwenye pesa hata kama mtu unashindwa kumuangalia usoni [emoji855][emoji855][emoji855]
Na wewe akitokea mzee kama Mengi, una enda naye sawa tuu?
 
Back
Top Bottom