Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
alikuwa anauza kitu gani cha 3500kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
alikuwa anauza kitu gani cha 3500kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
SawaMaisha hayoko fair sometimes huwezi nielewa labda ngoja nitafute njia nzuri ya kufikisha ujumbe
Sijui wa wapi huyu!!Hujui kuwa kisamvu na dagaa ndo vyakula vitamu sana?
Ha ha ha nilikuwa najiuliza hapa...huo ujumbe una uzito wa kilo ngapiNot bad kwa mtu kuibusu ATM yake...eti ujumbe mzito!
Kivipi?alianza na biashara ipi?
We Numbisa hapa anaongelewa Jack not zari loHii ni kauli ya team wema pale wanapojaribu kutafuta wa kushindana na zari
[emoji16]Not bad kwa mtu kuibusu ATM yake...eti ujumbe mzito!
We Numbisa hapa anaongelewa Jack not zari lo
kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
Hii comment ni 100/100.kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa