Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

View attachment 727562 Aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Jacqueline Ntuyabaliwe, mwaka 2015 alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara mkubwa na maarufu Tanzania, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP Media, Dk. Reginald Abraham Mengi

Jacqueline siku ya leo akiwa anasherekea miaka mitatu ya ndoa yake ameandika ujumbe mzito kwa mume wake Regnard Mengi ambaye tayari amemzalia watoto.

Amesema ”You’re my everything,I couldn’t have asked for a better man to call my husband.Thank you for spending your life with me and thank you for a beautiful love.Happy Anniversary to us.[emoji173]”.

Akimaanisha, Wewe ni kila kitu kwangu, siwezi kutaka mwanaume mwingine na kumuita mume wangu. Asante kwa kutumia/kuishi maisha yako na mimi, asante kwa upendo wako mzuri. Heri ya siku ya maadhimisho ya ndoa yetu.

Jacqueline amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa instagram, huku maneno hayo yakiwa yameambatanishwa na picha mbili za kumbukumbu ya siku ya harusi yao.

Jacqueline na Mume wake Mengi walifanya sherehe hiyo nchini Mauritius, ambapo ilihudhuriwa na watu 50 tu ikiwa ni ndugu na marafiki wa karibu wa wawili hao.

Harusi yao ni moja kati ya harusi kubwa na za kifahari zilizowahi kufanywa na watanzania.

Mungu aibariki ndoa ya wawili hao, wakapate kuishi milele na kutenganishwa na kifo pekee.

Chanzo: Dar 24

Anafurahia mali maana za chini ya kapeti sasa hivi mzee dakika mbili timamu mbili kazubaaa..Hata kwenye mikutano ya hadhara anajitahidi tuu.Ila mzee kiafya yuko vibaya mno na haka kadada kakombioni kumfirisi.Wazee wa udaku mi nimeishia hapo..nyi endelezeeni kuanzia hapa .
 
Pesa sabuni ya roho [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha afaudu maisha yenyewe haya!
 
Anafurahia mali maana za chini ya kapeti sasa hivi mzee dakika mbili timamu mbili kazubaaa..Hata kwenye mikutano ya hadhara anajitahidi tuu.Ila mzee kiafya yuko vibaya mno na haka kadada kakombioni kumfirisi.Wazee wa udaku mi nimeishia hapo..nyi endelezeeni kuanzia hapa .

Wanawake kwenye mapenzi mbele ya pesa wanafiki, it's so sad, ila ndo maisha aliyojichagulia mzee Mengi Bwana Mapesa
 
Ha haa! Mboga gani kuila tu unajisikia kichef chef, huwezi nikuta nakula dagaa nikiwa na pesa.
By the way, kisamvu ni mboga ya makaburini. Ushawahi ona shamba la kisamvu? Kisamvu huwa kinalimwa makaburini. Ukiona shamba la kisamvu ujue hilo ni la mihogo. Sio kisamvu cha mboga.
 
mzee atakuwa anasaidiwa lakini kazi nyingine na makamanda.kusugua vyuma vya pua unaweza kutoka sugu peke yako hasa kama kigumu kidogo kutokana na kutumika zaidi zamani
 
Pesa Sabuni ya roho, kama huna mbumba hata ungekua HB vipi lazma wazee wakugongee tuu. Hata ungeoa mwimbakwaya wa.kanisani kama mbumba opsoo, ujue wazee watakugongea tuu HB wewe. We kaa na urembo wako achia wazee wa mujini mkeo wakutunzie.
 
Back
Top Bottom