evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Klyn anatembea na andiko lisemalo fedha huleta jawabu la mambo yote..........
muhubiri 10;9
muhubiri 10;9
Na wewe akitokea mzee kama Mengi, una enda naye sawa tuu?
Hahahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unshindwa mtizama usoni[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
HahahahWala sifanyi ajizi naolewa vizuri tu !!!!! Tatizo nahisi nitaachika mapema or else anichukilie kama mdogo maaana mzee wa hivyo kuna mda roho inagoma aisee sema ndo hivyo pesa
AH AH AH AH AH daaah,mkuu utatuuua kwa kutuvunja mbavu ah ah ahkumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
Hahahah
Wanasema pesa may not buy you love
But at least it makes you comfortable.
Hata usipo mpenda utakuwa una fidia ma raha mengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msamiati mpya (gosso) pesa sabuni ya rohoTuzitafute pesa kwa udi na uvumba wadhani kama huyo mzee angekuwa ananuka ugoro au tumbaku (gosso)angepewa busu zito mbele ya hadharal watu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ndege hutua mti aupendaoWala sifanyi ajizi naolewa vizuri tu !!!!! Tatizo nahisi nitaachika mapema or else anichukilie kama mdogo maaana mzee wa hivyo kuna mda roho inagoma aisee sema ndo hivyo pesa
Kabsaaa!Na utaona umuhimu wa hizo pesa hasa ukiwa mtu wa taste , utaenda visiwa vyote unavyotamani kufika dunian ,gettn whatever u want lol,affordn any brand ..... walaaahi hadi mswak lazima uwe wa brand fulani !!!!!!
Sio siri hii tabia ya kuona kitu unaishia kutamani kwenye picha sio kabisa
mtaji ni kubinua tu paja lakekumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
watu wa lumumba bhn na mawazo yaokumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
Mkuu paja lina binuliwa?mtaji ni kubinua tu paja lake