ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Usipoziba ufa "Mdogo " hautajenga ukuta, ila ukisipoziba ufa "mkubwa" utajenga ukuta..
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Nyufa kubwa au ndogo inaweza kuwa ni tofauti kati ya mtazamo wako na was Salary slip; mtazamo wa ITV na Azam. Hoja ya msingi ni kwamba; ni sahihi kwa majengo hao mapya ambayo ysmeligharimu taifa zaidi ya bil 50 (kwa mujibu was cag), kuwa na nyufa mapema hivyo toka yakamilike na yaanza kutumika?

Mimi nafikiri tufika mahali tuwe wa kweli kwa dhamira zetu. Hizo nyufa mapema hivi zinatia shaka weledi was wataalamu wetu. Uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe kukwepesha janga kama lipo!
 
Nyufa ni nyufa usipoziba utajenga ukuta
 
Hivi hao wanafunzi bado wanaishi humo ndani?
 
Nyufa kubwa au ndogo inaweza kuwa ni tofauti kati ya mtazamo wako na was Salary slip; mtazamo wa ITV na Azam. Hoja ya msingi ni kwamba; ni sahihi kwa majengo hao mapya ambayo ysmeligharimu taifa zaidi ya bil 50 (kwa mujibu was cag), kuwa na nyufa mapema hivyo toka yakamilike na yaanza kutumika?

Mimi nafikiri tufika mahali tuwe wa kweli kwa dhamira zetu. Hizo nyufa mapema hivi zinatia shaka weledi was wataalamu wetu. Uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe kukwepesha janga kama lipo!
Umeongea vizuri na nakuunga mkono.
 
Wew unaweza ukawa mpumbavu namba moja koz hujui unachokiongea,hapa tunazungumzia mechanical issues not ideal.By then what you mean by criticality in respect to the matter on hand??.Don't dare to advertise your foolishness.
Mechanical things kenye majengo mkuu mbona kama unanichanganya (structural mechanics )
 
Wewe utakuwa mpumbavu mkubwa

Kinga ni bira kuliko tiba

Umeskani (have you scanned to establish the criticality of the case)

Unataka watu wafe ndipo ufamye nini?

Je kuna spear ya uhai popote pale kwamba mtu akifa tunanunua uhai tumpatie?
Hivi huwezi kutoa hoja bila kutukana! Kweli hii ni Tanzania ya vi-wonder!
 
Tupo mkuu, haya ni mambo ya kitaalam, ni jambo la kawaida kabisa majengo ya kisasa kupumuwa.

Kuna sehemu hamna uwezo wa kufika ila mkiweza kufika kaangalieni yale maghorofa ya jeshi yaliojengwa Ihumwa Dodoma, Majohe Dar na mabibo Dar mtajionea yale maghorofa yanavyopumuwa kwa fujo.

Wakandarasi ni ndugu zetu wa damu kampuni la kutoka China.

View attachment 644075
Duh, hii picha ya barabarani mi hoi.
 
Kweli kabisa ni nyufa za kawaida tu hizo, kitaalamu tunaziita "joint expansion". Bongo karibu kila mtu ni komedian, safi saan.
Expansion joint zinawekwa kitaalamu kindi cha kudesign jengo expansion haitokei bila mpangilio
 
Back
Top Bottom