ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Tatizo kubwa la watanzania ni unafiki na kujipendekeza hata kwa mambo ambayo ni risk kwao, tumekua waongo, tusiopenda ukweli na wapindishaji wa ukweli, nchi ya kijinga kabisa hii siasa umeufunika utaalam na usomi wa watu wengi ,

nina hakika jengo hilo lisingekuwa na mkono wa serikali nina hakika leo leo ingetolewa order wanafunzi wote wahamishwe na jengo libomolewe lakin kwa kuwa ni kinyume na hilo ndio maana naona kuna vilaza wako bize kuufunika na kuupindisha ukweli uliopo wazi kabisa
 
Kwahiyo wapo watu wanatetea zile nyufa? Duh!
Tupo mkuu, haya ni mambo ya kitaalam, ni jambo la kawaida kabisa majengo ya kisasa kupumuwa.

Kuna sehemu hamna uwezo wa kufika ila mkiweza kufika kaangalieni yale maghorofa ya jeshi yaliojengwa Ihumwa Dodoma, Majohe Dar na mabibo Dar mtajionea yale maghorofa yanavyopumuwa kwa fujo.

Wakandarasi ni ndugu zetu wa damu kampuni la kutoka China.

FB_IMG_1512204557668.jpg
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Ishu si ukubwa au udogo wa nyufa maana hizo ni dalili tu za mwanzo, hata tetekuwanga kinaanzaga kipele kimoja tu kisha kusambaa mwili mzima. Cha kujiuliza hizo nyufa zilipo ni sahihi? Wanasema ni expansion joint, je expansion joint zipo hadi kwenye slab inayoonekana nayo kukatika?
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Kweli kabisa ni nyufa za kawaida tu hizo, kitaalamu tunaziita "joint expansion". Bongo karibu kila mtu ni komedian, safi saan.
 
Kwa hiyo nikiwa sisiemu maana yake nini kwako?
Kumbe wewe ishu ni SISIEMU Vs SOMEBODY na sio hoja??
Poor you!!

Mkuu hata kama una mahaba mazito na JPM usifikie pahala ukajidhalilisha kwa kutetea ujinga.
 
Zile siyo nyufa aiseee ! Ni mapango ! Mbwa au paka anapita bila kukwama kuelekea upande wa pili .
 
Hawa Tba lazima nyumba wanazojenga ziwe mbovu tu yaani wakuu kuna zile nyumba wanajenga kule mabwepande wanaiba nondo na cement wanauza ucku mnatarajia uimara gani kwenye ujenzi wao hata hapo chuo itakuwa ni yale yale ya kuuza cement na nondo kwa mtindo huu nyufa hazikwepekiii [emoji35][emoji35]
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Hata Mbuyu uliaza kama Mchicha mjomba, kajipange upya.
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Macho yako yatakuwa yanayo makengeza!! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Kama unahisi jamaa walikuza,kwanini pia usihisi kuwa jamaa walipunguza?Sasa Fanya jambo moja,jaribu kupoteza muda wako ili uje eneo la tukio.
 
Back
Top Bottom