Ungeangaria ITV nijuavyo ufa ktk gorofa wenye kuvuka sakafu mbili ni hatariMimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.