ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Nyufa ni za chadema
Sawa mkuu. Metisha kwa ujenzi mpya. Aiseeeeeeeeeee
Msema kweli ni mpenzi wangu. Ngoja nione km wataziba au wataacha hivyo hivyo?
Cherehani 4 ni kiwanda, wakuu wa mikoa ni wanasiasa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mniombee
 
Wewe umeona ITV mimi nimeona Azam Tv, nyufa kweli zipo na kwa mtazamo wangu jengo haliko sawa ila sio kubwa yaani pana kama zionekanavyo mitandaoni.
Kwa hiyo kwenye mitandao walizoom nyufa halafu yale madirisha yakabaki vilevile?
 
Sawa mkuu. Metisha kwa ujenzi mpya. Aiseeeeeeeeeee
Msema kweli ni mpenzi wangu. Ngoja nione km wataziba au wataacha hivyo hivyo?
Cherehani 4 ni kiwanda, wakuu wa mikoa ni wanasiasa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mniombee
Tatizo sio kuziba au kuacha shida inakuja mtu akikoment positivelly au kutetea anaonekana ni ccm hii sio sawa watu wote hatuwezi kuwa na mawazo na mtizamo sawa
 
Nasikia hostel inaunga mkono kubomolewa kwa jengo LA tanesco
 
Hivi nyufa zinakarabatiwa au zinafichwa??
Zinafichwa kwenye kabati, uvunguni au?
Ujenzi mpya wa ccm. Kwa mfano ule ufaa ungetokea kwenye jengo la mwanachadema ingekuwaje?
Tatizo la ccm wameshindwa kusoma nyakati, wao wanafikiri bado tupo enzi za mwaka 1947
 
12b55e63dfce13db50033698db2c726a.jpg
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amateur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Wewe nawe ni kilaza sijapata kuona .....nyufa zinaonekana kabisa,na pia ni hatarishi unakuja hapa kuongea shudu
 
[emoji23] sio nyufa zile ni pua za jengo.. zinatumia kupumua
 
Sababu kuna mtu kukuona ww ccm kwa sababu tu umekoment tofauti na mtazamo wake, sasa ww unanitusi
by the way mm ckukutukana ila ww umenitukane sasa nikueleweje
Ooops!
Sorry! Ninaenda ifuta comment yangu, nilikuelewa ndivyo sivyo nikijua ni wale wale.
 
Back
Top Bottom