JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,374
Jamani ili kuondoa ubishi,naomba ruhusa kesho
watu twende tujionee wenyewe,tulinganishe
taarifa za kwenye tv na kwenye mitandao
tuone nani yuko sahihi.Lengo la kuomba ruhusa
ni kusijetokea mambo ya "tip-tip chwaaaa!!"
kwa sababu ya kukusanyika bila kibali.