ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Wewe utakuwa mpumbavu mkubwa

Kinga ni bira kuliko tiba

Umeskani (have you scanned to establish the criticality of the case)

Unataka watu wafe ndipo ufamye nini?

Je kuna spear ya uhai popote pale kwamba mtu akifa tunanunua uhai tumpatie?
Hello! Muombe radhi uliyemtukana kiasi hicho. Mbona ni kama haujamuelewa kabisa? Hebu msome tena halafu urejee hii comment yako. Hakika utamuomba radhi.
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Acheni kucheza na uhai wa watu kwa ushabiki....
 
Naona ishu ya nyufa ishageuka siasa
Basi hizo nyufa ziachwe tu kama kujenga mmejenga wenyewe so mziache tu

Ova
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Itv umeangalia?
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.

Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
 
Wewe utakuwa mpumbavu mkubwa

Kinga ni bira kuliko tiba

Umeskani (have you scanned to establish the criticality of the case)

Unataka watu wafe ndipo ufamye nini?

Je kuna spear ya uhai popote pale kwamba mtu akifa tunanunua uhai tumpatie?
Wew unaweza ukawa mpumbavu namba moja koz hujui unachokiongea,hapa tunazungumzia mechanical issues not ideal.By then what you mean by criticality in respect to the matter on hand??.Don't dare to advertise your foolishness.
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Mkuu acha kuta zipumue mkuu....
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Basi tumekusikia vi nyufa vyenyewe ni vidogo endeleeni kulala tu hakuna shida.
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Kwa kweli ninaangalia ktk taarifa ya habari. Tatizo waandishi wetu hawaulizi hawanaga maswali fikirishi ambayo yanatakiwa husika abaki na ukakasi ktk jamii inayomsikiliza. Sio unaonyesha tukio then muhusika aulizwi Swali
 
Nyufa zimeonekana kwenye mitandao wakasema sio za Hapo sasa TV zetu nazo zimeonyesha wanasema hazina madhara zaidi ya Hapo wamekamata mtoa taarifa sijui kakosea kutoa taarifa
 
Back
Top Bottom