Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,632
- 81,727
Achaneni na nyufa jamani mtamiminiwa rithathi buree..
Aliepost hizo picha saizi yupo sentro sero
Aliepost hizo picha saizi yupo sentro sero
Mi sio muhandisi, ila sidhani kama nyufa huwa zaongezeka kutokana na miaka kuongezeka.Zikifikisha miaka miwili hizo nyufa zitakuwaje (fanya projection)
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Siyo nyufa zile ni njia za kupita nyoka anapojivua gambaHakuna nyufa..huo ni uchochezi...ile ni aina mpya ya ujenzi
Umesoma comment yangu na kuielewa au umeiangalia tu au upeo wako wa kufikiri ndo umefika mwisho??Kijana wa Uvccm unajaribu kutetea uozo wa TBA
Kua CCM humu ndani ni makosa?Wewe ni CCM tunakujua mkuu.
Nimeona majengo mengi ila hayajawekwa sehemu za kupumulia kama hayo..tumeambiwa ni nyufa za kawaida.Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Umesoma comment yangu na kuielewa au umeiangalia tu au upeo wako wa kufikiri ndo umefika mwisho??
Jengo linapumua msiwe na wasiwasi laleni unono.Ni kawaida kitaalam jengo kupumua kupitia nyufa
Kasema nani??Kwahiyo ITV ni wachochezi?
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Nini kilishindwa kuzifanya zisitokee na kipi kitazuia zisiendelee!Mi sio muhandisi, ila sidhani kama nyufa huwa zaongezeka kutokana na miaka kuongezeka.
Kwa maana hiyo mkuu walopiga picha ile waliipitisha photoshop kwanza ndo wakaiposti social media.?Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.