ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Achaneni na nyufa jamani mtamiminiwa rithathi buree..

Aliepost hizo picha saizi yupo sentro sero
Centro wenyewe wamemkana.
Maybe atakua ndani ya white Nisan/Lendi Cruza anahojiwa na watu wasiojulikana
 
Mi sio muhandisi, ila sidhani kama nyufa huwa zaongezeka kutokana na miaka kuongezeka.
Mimi Nilikua Nina kanyumba changu UFA ulianza mdogo mdogo kwenye dirisha ukapanda mpaka kwenye lenta...uliongezeka..
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
 
Jamani humu jamvini mbona mna vichwa vigum?

Washasema ni ufa za kawaida, ukizingatia jengo kubwa km lile lazima ziashwe nyufa zitokee sababu ya joto LA DSM.
 
Sasa wapumbavu wanaanza kujadili ukubwa wa nyufa badala ya uwepo wa nyufa.

Wanajadili kama kipimo cha malaria ni mbili au 4 au zaidi badala ya uwepo na kutokuwepo kwa malaria.
Nyambafu.
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
mimi nilumwambia jamaa wamezoom sana ile picha ili ionekani tatizo ni kubwa sana
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Nyufa ni nyufa tu labda kama hazipo mseme....! Cha msingi wahusika wawajibishwe acheni longo longo...!
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Nyufa kubwa kwako zinaanzia ukubwa gani kaka
 
Kwa hyo hizo nyufa. Zitazibwa?
Lakini haya ni maajabu.
HATA MIAKA MIWILI BADO.
NYUFA AA AAAAA.
ebu nendeni kariakoo mkaangalie maghorofa ya wahindi Yale ya Zaman. Muone Kama yana nyufa. Na yana miaka zaidi ya 50.
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
kila kinacho tengenezwa duniani hakikosi kasoro.ujumla wa hule ufa na habari zimefanya kuonekana ni majengo yote kiujumla kama kawaida yetu kwenye emoji za kumcheka ngosha na kirani yako unaye ishi ukiona kasoro
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Kwa hiyo zimetanuliwa kwenye picha??

Fisi mna vituko sana.
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Leo ITV imekuwa stesheni ya kusifiwa, ha ha ha.
 
Back
Top Bottom