Usihangaike, jana Nape alishamaliza kazi.
Kz ipi mkuu..nape ni nani kwenye chama? Labda nyerere angekuepo angetishia kurudisha kadi..EL hawezekani hv sasa walichelewa sana kumdhibiti..kama kweli waliona anamakosa!
Usihangaike, jana Nape alishamaliza kazi.
ITV inaharibu reputation yake kwa kuruhusu kuwa kituo cha propaganda za mafisadi, kwa muda mrefu kweli ITV ndiyo msema kweli wetu sasa kaingia kwenye mtego tutakimbilia wapi? MENGI kashaingia ndani ya 18 za EL kuna kazi tena? kweli pesa nimeamini ni hatari, mzee wetu MENGI amamua kuzika reputation yake kimataifa hivi hivi? ni TV peke yake iliyokuwa ikituletea vitu live, MUNGU wangu me ndorobo nitaangalia TV gani tena? TBC ndiyo majanga. AZAM ni kwa bepabri mpaka uwe na king'amzi na me sina pesa. uwiiii jamani nalia msaada.
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati
mkuu acha kuweweseka bure. habari za lowasa hutangazwa na vituo vyote vya TV, hasa Chanel 10 ambao humfagilia kila kupitia kwa mwandishi wao aitwaye jamila omar ambaye amekabidhiwa jukumu kumpamba na kumtangaza lowasa kwenye taarifa zao za habari za kila saa 2 usiku. umeelewa?
Lowassa ndiye rais wa awamu ya 5, ITV wameishalijua hili, mlitaka wamtangaze nani zaidi?!.
Pasco.
Mkuu Kanone, wanaotafuta rais wa viwango ni wewe au CCM?. Kama ni wewe, then uko ok lakini kama ni CCM then you are very wrong unless kama CCM ninayoijua mimi imebadilika!. CCM huwa inamteua mgombea ambaye "ni mwenzetu", mgombea ambaye ni mtu wa watu, anayependwa na watu, anayechagulika, na kuweza kuwapatia ushindi. Mtu wa aina hiyo CCM yuko mmoja tuu!. Uadilifu, Rushwa na Ufisadi sio issue kabisa CCM, vitu hivyo vilizikwa na Nyerere, CCM ya sasa ni CCM pesa mbele!. Unless kama CCM imebadilika!.jiandae kisaikolojia haya sio mashindano ya mtu maarufu kwenye vyombo vya habari bali tunamtafuta rais wa viwango vya utumishi ndani ya nchi hii
Mkuu Kanone, wanaotafuta rais wa viwango ni wewe au CCM?. Kama ni wewe, then uko ok lakini kama ni CCM then you are very wrong unless kama CCM ninayoijua mimi imebadilika!. CCM huwa inamteua mgombea ambaye "ni mwenzetu", mgombea ambaye ni mtu wa watu, anayependwa na watu, anayechagulika, na kuweza kuwapatia ushindi. Mtu wa aina hiyo CCM yuko mmoja tuu!. Uadilifu, Rushwa na Ufisadi sio issue kabisa CCM, vitu hivyo vilizikwa na Nyerere, CCM ya sasa ni CCM pesa mbele!. Unless kama CCM imebadilika!.
Pasco
Kikawaida mtu anatakiwa kuuliza maswali, lakini hapa wewe unauliza majibu, nikujibu nini?!.Mkuu tusaidie tumfahamu huyo mmoja mwadirifu ndani ya CCM.
Kikawaida mtu anatakiwa kuuliza maswali, lakini hapa wewe unauliza majibu, nikujibu nini?!.
Nenda google uka seach "the one and only CCM" jina litakuja!.
Pasco
Mkuu nimetafta google kwa hayo maneno ulioandika jibu limekuja kwamba ni Makongoro Nyerere.