Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.