ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

Si umewaona Wazee lakini sio Lowasa, ITV imeonyesha ushawishi wa Wazee na imani yao kwa Mh. Lowasa, sasa ITV kama chombo cha habari wana kosa gani?
 
Wakuu nilikuwa naipenda ITV na mdogo wake EATV lakini tangu huyu fisadi, mwizi mtoa rushwa Endward Lowasa achukue fomu imekuwa ndiyo vificho na mataulo ya kumsafisha, naombeni jinsi ya kuzi delete hizi TV. sitaki dhambi ya huyu mwizi inikute.
 
Usihangaike, jana Nape alishamaliza kazi.
 
Unanyoosha kidole kimoja lakini vinne vinakutazama wewe.ITV hawana tatizo ktk hili ila wewe ndio unatatizo tena kubwa tena nakuona ukiwa na uchungu ndani ya moyo wako ambao utakupoteza
 
Huwezi ku delete nembo ya taifa we ndooorrrooobo
 
Huwezi ku delete nembo ya taifa we ndooorrrooobo

ITV inaharibu reputation yake kwa kuruhusu kuwa kituo cha propaganda za mafisadi, kwa muda mrefu kweli ITV ndiyo msema kweli wetu sasa kaingia kwenye mtego tutakimbilia wapi? MENGI kashaingia ndani ya 18 za EL kuna kazi tena? kweli pesa nimeamini ni hatari, mzee wetu MENGI amamua kuzika reputation yake kimataifa hivi hivi? ni TV peke yake iliyokuwa ikituletea vitu live, MUNGU wangu me ndorobo nitaangalia TV gani tena? TBC ndiyo majanga. AZAM ni kwa bepabri mpaka uwe na king'amzi na me sina pesa. uwiiii jamani nalia msaada.
 
Wakuu nilikuwa naipenda ITV na mdogo wake EATV lakini tangu huyu fisadi, mwizi mtoa rushwa Endward Lowasa achukue fomu imekuwa ndiyo vificho na mataulo ya kumsafisha, naombeni jinsi ya kuzi delete hizi TV. sitaki dhambi ya huyu mwizi inikute.

Mie nilishapiga marufuku familia yangu kuangalia.
 
Watanzania tukimchagua lowasa basi nita conclude kuwa tuna laana
 
Mbona kila siku hata humu Jf ni lowassa tu basi hata wao na wanachama wao wanampigie prom lowassa maana habari zake humu ndo zinaongoza
 
mwaka huu hala hala mti na macho,lakini kwa waandishi pia ndiyo mwaka ambao wasipokuwa makini wakakumbwa na mafuriko yasiyozuilika tehetehete lazima wataacha kupita baadhi ya mitaa,kadhia yote hiyo ya nini ndugu waandishi kuweni mbani na kurukiwa na damu za ushabiki na makundi mtaifurahia kazi.....napita tu
 
Back
Top Bottom