ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

ITV inaharibu reputation yake kwa kuruhusu kuwa kituo cha propaganda za mafisadi, kwa muda mrefu kweli ITV ndiyo msema kweli wetu sasa kaingia kwenye mtego tutakimbilia wapi? MENGI kashaingia ndani ya 18 za EL kuna kazi tena? kweli pesa nimeamini ni hatari, mzee wetu MENGI amamua kuzika reputation yake kimataifa hivi hivi? ni TV peke yake iliyokuwa ikituletea vitu live, MUNGU wangu me ndorobo nitaangalia TV gani tena? TBC ndiyo majanga. AZAM ni kwa bepabri mpaka uwe na king'amzi na me sina pesa. uwiiii jamani nalia msaada.

Mkuu hili jina nouma,shikula-USHINYE
 
ataacha kumpigia kampeni wakati mwenye mali kapewa u role model utajiri Tanzania?
 
Lowasa Lowasa EL EL Ngowai Lowasa utaua watu kwa kiwewe, watu hawatoki kwenye TV kuona umetoka vipi siku hiyo. Kinachosikitisha ni kwamba habari zingine hawaoni hila zako. Upande mwingine inafurahisha kuona mazuzu yalivyoshupaa uso wakiona tu habari zako. Go EL Go.
 
ITV wakati mwingine hawaeleweki, hata kama ni chombo cha habari kinacho jitegemea, bado wanamfumo unao pelekea weleweke kuwa na mlengo fulani wanapo ripoti taarifa zao. Inamaana hakuna watia nia wengine. leongo ni kupasha habari zote.
 
Itv wanapo ripoti habari za mzee Lowassa pia watakiwa kueleza mambo yake katika historia ya uongozi wake kwa uma, maana tunadhani muda wa kampeni umeanza kwahivyo anavyo pewa nafasi katika kuripoti habari zake; wapo pia watia nia wengine kama akina Magufuli,mwakyembe,mzee sitta,mzee pinda nk. mbona wao hawaonekani?
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

ITV mara zote imekuwa adui mkubwa wa WATANZANIA, wao wanaangalia maslahi ya mmiliki wake. Mambo akimbadilikia mzee Mengi anatafuta huruma ya watanzania. Aache kututumia. Mwaka 1995 ITV ilitumika kuonyesha picha hatari za machafuko huko Rwanda, Burundi na DRC na kudai ukichaguliwa upinzani vita vitatokea kama kwenye nchi jirani. Mzee Mengi, amekuwa akionyesha kuwa upande wa wanyonge, nampongeza kwa mengi lakini hili la kutumia vyombo vyake vya habari kumuuza mzee Lowasa halikubaliki. Atuache tupambane wenyewe, tunajua mahali tutakapotokea. Waache mara moja kumbeba huyu baba.
 
Itv kimekuwa chombo tunacho kitegemea kwa kutuhabarisha pia tunakiamini, tungependa kuona kinajitahidi kutupatia habari kwa ukamilifu tena bila kutiliwa mashaka kama hivi sasa. mtu mmoja Lowassa amekuwa akigonga vichwa vya waandishi wa Itv na anapewa nafasi kubwa.
 
Wakuu nilikuwa naipenda ITV na mdogo wake EATV lakini tangu huyu fisadi, mwizi mtoa rushwa Endward Lowasa achukue fomu imekuwa ndiyo vificho na mataulo ya kumsafisha, naombeni jinsi ya kuzi delete hizi TV. sitaki dhambi ya huyu mwizi inikute.

ITV inaharibu reputation yake kwa kuruhusu kuwa kituo cha propaganda za mafisadi, kwa muda mrefu kweli ITV ndiyo msema kweli wetu sasa kaingia kwenye mtego tutakimbilia wapi? MENGI kashaingia ndani ya 18 za EL kuna kazi tena? kweli pesa nimeamini ni hatari, mzee wetu MENGI amamua kuzika reputation yake kimataifa hivi hivi? ni TV peke yake iliyokuwa ikituletea vitu live, MUNGU wangu me ndorobo nitaangalia TV gani tena? TBC ndiyo majanga. AZAM ni kwa bepabri mpaka uwe na king'amzi na me sina pesa. uwiiii jamani nalia msaada.

ITV wakati mwingine hawaeleweki, hata kama ni chombo cha habari kinacho jitegemea, bado wanamfumo unao pelekea weleweke kuwa na mlengo fulani wanapo ripoti taarifa zao. Inamaana hakuna watia nia wengine. leongo ni kupasha habari zote.

Itv wanapo ripoti habari za mzee Lowassa pia watakiwa kueleza mambo yake katika historia ya uongozi wake kwa uma, maana tunadhani muda wa kampeni umeanza kwahivyo anavyo pewa nafasi katika kuripoti habari zake; wapo pia watia nia wengine kama akina Magufuli,mwakyembe,mzee sitta,mzee pinda nk. mbona wao hawaonekani?

ITV mara zote imekuwa adui mkubwa wa WATANZANIA, wao wanaangalia maslahi ya mmiliki wake. Mambo akimbadilikia mzee Mengi anatafuta huruma ya watanzania. Aache kututumia. Mwaka 1995 ITV ilitumika kuonyesha picha hatari za machafuko huko Rwanda, Burundi na DRC na kudai ukichaguliwa upinzani vita vitatokea kama kwenye nchi jirani. Mzee Mengi, amekuwa akionyesha kuwa upande wa wanyonge, nampongeza kwa mengi lakini hili la kutumia vyombo vyake vya habari kumuuza mzee Lowasa halikubaliki. Atuache tupambane wenyewe, tunajua mahali tutakapotokea. Waache mara moja kumbeba huyu baba.

Itv kimekuwa chombo tunacho kitegemea kwa kutuhabarisha pia tunakiamini, tungependa kuona kinajitahidi kutupatia habari kwa ukamilifu tena bila kutiliwa mashaka kama hivi sasa. mtu mmoja Lowassa amekuwa akigonga vichwa vya waandishi wa Itv na anapewa nafasi kubwa.

Kwa hiyo kosa la ITV ni kuonesha habari za Lowasa?
 
Tokea mwaka Jana huwa hata sielewi nini kinaendelea kwenye hizo stesheni ...mmiliki anaingiza siasa sana kwenye media yake na kupenda kulialia
 
Wakuu nilikuwa naipenda ITV na mdogo wake EATV lakini tangu huyu fisadi, mwizi mtoa rushwa Endward Lowasa achukue fomu imekuwa ndiyo vificho na mataulo ya kumsafisha, naombeni jinsi ya kuzi delete hizi TV. sitaki dhambi ya huyu mwizi inikute.

Kwani umelazimishwa uangalie ITV na hiyo EATV!? Kwanini usihamie TBC1 na TBC Taifa "Ukweli na Uhakika!" huko naamini hutoboreka! Otherwise hayo majungu hayasaidii!
 
Kwa hili kweli IPP inaboa! Huu utaratibu utawaharibia vyombo vyao, itakuwa kama TBCCM tu.
 
Saasa we unataka wamzungumzie Nani zaidi ya El Wakati wananchi wanataka kujua kuhusu El,wewe mwenyewe madaa zako zote unazoleta hapa ni za El, mbona uko double standard Sana we rukusa Mada zote El ila wenzio hapa. We mleta Mada tunakujua kale Kaa cheo ka pale wizara ya nnje Ndio kana kusumbua Kwa sababu ulikuwa huna vigezo ulihongwa!
 
Wakuu nilikuwa naipenda ITV na mdogo wake EATV lakini tangu huyu fisadi, mwizi mtoa rushwa Endward Lowasa achukue fomu imekuwa ndiyo vificho na mataulo ya kumsafisha, naombeni jinsi ya kuzi delete hizi TV. sitaki dhambi ya huyu mwizi inikute.
Hamia TBC uwe unaangalia mbio za mwenge.
 
Back
Top Bottom