ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

madodoki ya lowasa hayo lakini hadi yataisha kwa udhaifu niliouona hata nyie mnaomshangilia ipo kasoro ndni yenu,wenye elimu zao ni hoja zipi za kusikiliza kwa lowasa?

Kama Lowasa ni dhaifu mpelekee mama yako akampime ili tupate majibu
 
itakataze serekali kwanza kumpigia kampeni magufuli cha pombe john
 
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.

Kijani na zambarau kama unataka kuziangalia angalia TBC1
 
inaomekana hata kkmaisha wewe kufanikiwa ni hadithi kwan unashindwa kujua hili
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

Kubalance story zungumzia star TV na TBC1 pia.vipi kuhusu website ya ikulu?
 
jamani kwani itv wanakosa gani?habari inayobamba ndio inayorushwa sasa km nyie ccm hamna habari hot waonyeshe nn?waje kuwaonyesha mkiwa majumbani na wake zenu???c'mon kile ni kituo binafsi cha biashara..
 
Acha uchochezi ----- wewe.Tulieni dawa iwaingie magamba
Vipi kuhusu TBCCM Tv inayotumia kodi zetu isivyorusha kabisa issue za upinzani?.
 
Mbna tbc hamuisemi na ukiritimba wake?mnapoteza muda tu kumchukia lowasa.unazuia mafuriko kwa mkono.zamu ya kutuburuza imekwisha jipangeni upya
 
Sasa we ulitaka ENL awafunge miguu wasiende Mafuliko hayazuiliwi kwa mikono...
Ccm chaliii....
 
Hakika chombo cha habari kinachojitambua hakitaacha kuripoti habari pendwa za UKAWA.TBCCM inapumulia machine kwa upendeleo wa wazi kwa chama tawala ilhali kinatumia kodi za wananchi wote.
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

Ni sawa na Kikwete anavyompigia kampeni Magufuli kabla ya mda
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

ITV hongeraaaa.TBC inakula kodi za wananchi halafu inaipigia CCM kampeni .
 
Back
Top Bottom