ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

Nilikua namwani Lowasa na bado naamini kua anaweza,lakini swala la ukanda,ule uArusha na uKilimanjaro nauona wazi,hiyo ni kituo cha TV cha mtu wao,mwenye sikio na asikie siku ya kupiga kura tu.ukanda hatuutaki,wanakataa tu lakini upo
 
Huna hoja kaa kimia acha uchonganishi mlio zoeya vya kunyongwa vya kuchinja hamviwezi.
 
Unaionaje tbccm,star tv na cloud kuhusu maguful? Halaf acha uzush hivi hata kama ni wew mwenye tv hungeona aibu kutokuonyesha ile shangaka (mafuriko)? Cnn jana ilikuwa inakopy ile habar kutoka itv huku sky wakicopy kutoka azam 2 tv
Kama unafuatilia majibu unayo ila kwakua unatanguliza ushabiki utapotosha
 
babu anataka kitalu,ngoja tuone kama atapewa,naomba MUNGU kabla ya kikwete kuondoka atie sain mikataba ya muda mrefu ili hili babu likose.

Kweli akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa masikini anamwombea tajiri njaa duh..nashukuru akili yng inauwezo wa kupambanua mambo pole mtanzania uliyekubali kufa masikini kwa kuwaza ujinga
 
Kweli kabisa, nimeona kwenye taarifa ya habari, ITV saa mbili, This is not fair!!!
Habari nyingi unazoziona on TV ni for the public interest! Sasa kama kuna strong public demand ya news za Lowassa unataka ITV wafanyaje Kwa mfano! Kama za Lowassa zinakuboa hamia TBC... just a button away!
 
Kweli kabisa, nimeona kwenye taarifa ya habari, ITV saa mbili, This is not fair!!!
wewe una akili gani ya kujua what is fair na what is not fair. kwa kile wanachofanya tbccm na starccm unaona ni haki, shut up na kama hupendi kaa na remote yako karibu, zikiingia big newz za ukawa, feel free ku change channel,
 
Hapa ni mwendo wa uhakika mpk ikulu, kama munataka habari za kuwafurahisha angalieni tbc..........someni habari leo,uhuru, jambo leo, daily news na mengine ya mfano huo.
Wapashe hao,siku hizi chaguo ni lako, machanei kibao, ukiona ITV inakuboa hamua TBS ukaone viduko na mipasho iliyo nyuma ya wakati,ukitaka zingine nenda StarTV ambayo kwangu mimi huwa nasubiria za kimataifa na michezo, lkn ukitaka hali halisi ya mambo njoo ITV, sasa wanacholalama ni kitu gani? Ukiona haikufai ipotezee nenda kule unakokongwa moyo. Miaka ya 70 mpaka mwanzo wa 80 tulikuwa tunagombea kupata gazeti la Uhuru, sasa hivi hata liuzwe centi 10 hata muuza maandazi hatolichukua kwa kupwaya habari zake, mpango mzima upo Mwananchi,Mawio nk.
 
Mbona JK anampigia kampeni Magufuli. Anajifanya anaenda kuaga wasanii huku akiambatana.
 
Mwizi yeyote duniani hawezi kufuatana na polisi ktk safari.
Mwizi atafuatana na mwizi mwezie.
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati

Mpanzi ni Kweli ITV unatumia tena sana tuu kwa Ukawa ili kuiondoa Serikali madarakani,Ingawa Mmiliki wake anajaribu kujificha ficha!Lengo ni Kuiondoa CCM! BUT mbona TBC iko wazi kabisa kabisa kuitetea CCM?na Clouds Pia inatetea CCM hamsemi? ITV Daima....ila nahisi chombo cha habari viko huru...so wewe wakikuchosa hamia upande mwingine....
 
ndo mana walipeleka mswada wa kuujumu vyombo vya habari ila kwa mpango wa mungu ukafeli... itv daima
 
mleta uzi huu si mwerevu na kama ni mjuzi hakuoanisha vyombo vya habari vinavyotoa nafasi sawa kwa wote na hasa kîle kinachoendeshwa kwa kodi zetu tbc kilivyojipiga muhuri wa ccm hâta kikaupa kisogo umma unaokiwezesha na watu werevu kama wewe mkajipa upofu na ukiziwi msione wala msisikie mabaya yanayofanywa na tbc mnaona ya itv hakika ni kweli mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi subirini tufani iwapitie mtalia na kusaga meno 25.oct.2015.hakuna jinsi ila ni kukubali yaishe,
 
Mnaboa sana kwa hili mbona habari zake mnatangaza sana kwani hamna habari zingine.kwani mnatangaza team lowasaa kila siku bila kukosa km mmenunuliwa kwa pesa mseme.jirekebisheni.
ITV ni tegemeo kubwa wa kuletewa habari za uhakika,TBC na Star TV wao ni habari isiyo na usawa,wanakomaa na Magufuli na kiujumla huwa sipendi habari zao kabisa.
Hata wewe uwe mkweli TBC&Star TV wako fair?
 
Hatuachi kukupenda....hata waseme mini hatuachi..Lowassa weee by Walter Chilambo.
 
Back
Top Bottom