Gamba mkubwz we aya kakojoe ulkalale huna jipya
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.
Yaani mshangao wa ajabu,wanashangaza sana hawa wa kijani
Yao tu ndio mema
Wamebeba pesa kwenye sandarusi na mabox na nyingine wamewagawia hadi watumishi wa Mungu ila kwao sawa tu
mkuki kwa nguruwe...Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.
Hahahaa mwaka huu mtahangaika sana magamba.

mbona jana mumelalamikia star tv kuwa inapendelea ,madodoki ya vyombo vya habari hayasaidi kama hauna uwezo wa hoja kwenye jukwaa unategemea msaada ili ushide ni kazi bule,
hana njia nyingine ya kumsaidi lowasa ni kutumia madodoki ya vyombo vya habari na nyie 4u aliowaajiri humu,lakini
uwezo wa kumsimamisha yeye kama yeye akatoa hoja za maana na wenye akili zao wakamuelewa hana ,
pole sana mtafanya kazi kubwa mno ,na mtajutia kilichowafanya kumuweka pembeni slaa,
madodoki ya lowasa hayo lakini hadi yataisha kwa udhaifu niliouona hata nyie mnaomshangilia ipo kasoro ndni yenu,wenye elimu zao ni hoja zipi za kusikiliza kwa lowasa?
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.
Umeamua kuwaonea huruma ukawa badala kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi
mkuu nawaonea huruma maana mdahalo ni masaa 5 lakini huyto wenu hata uwezo wa kisimama nusu saa hana sijui itakuwaje na hapo badi ajatembea vijiji vyote vya nchi hii kuomba kura usisaahu hilo,
Tunaomba tuachiwe server kwa ajili ya post za Lowasa na UKAWA.Msijaze bila sababu
ITV inaharibu reputation yake kwa kuruhusu kuwa kituo cha propaganda za mafisadi, kwa muda mrefu kweli ITV ndiyo msema kweli wetu sasa kaingia kwenye mtego tutakimbilia wapi? MENGI kashaingia ndani ya 18 za EL kuna kazi tena? kweli pesa nimeamini ni hatari, mzee wetu MENGI amamua kuzika reputation yake kimataifa hivi hivi? ni TV peke yake iliyokuwa ikituletea vitu live, MUNGU wangu me ndorobo nitaangalia TV gani tena? TBC ndiyo majanga. AZAM ni kwa bepabri mpaka uwe na king'amzi na me sina pesa. uwiiii jamani nalia msaada.