Mh nimekuja....is this a joke too???mhh!me ata siamin,haya ngoja nsubiri mshtakiwa aje sasa maana kama sielewi elewi vile...
pitapita yangu nimekutana na hii kitu!!
Saint Ivuga nimekusoma...
Dah bibie analia hapa hata sijui nimbembelezaje
Tumuombee kaka yangukweli umechanganyikiwa huyu ni saint IVUGA?
Mbona erick niko nae hapa tunafaidi matunda ya uhuru?
dah! Unazd kupglia msumari wa moto kwenye kdonda.
Mh hapa unazidi kuharibu
kweli umechanganyikiwa huyu ni saint IVUGA?
kaka nikupigie?
No please ngoja niweke mambo sawa then ntakucall...
..usisikilize ya watu mama tutagombanaa we...mapenzi ni kuvumiliana usimwache kaka angu huyu is so palatable
Mbona sielewi ni kichit chat au ni ki ukweli kweliii we si upo kule mjengoni?
Nimeichoma moto hiyo. That should be fake! Lol.