Its officially OVER Erick!

Unakataa ili kujikosha kwa Kongosho eeeeh????? Au mpaka niweke hati ya nyumba na kadi ya gari hapa?????

Hahahaha we bi shost una degree ya udaku! Hiyo nyumba ulopiga picha ni ya konnie na mumewe The Boss. Btw, naskia ndipo birthday party ya Kongosho itakapofanyika!
Na hiyo chain...i already explained earlier..it was a comforting gift.
Hiyo ride hapo..mmmh hapana!
 
Last edited by a moderator:
owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..

mh! hupendi nini na uko wapi? enewei kajaribu kuibadilisha jukwaa la siasa kwa kuweka news za chit chat... halafu uone zawadi yake! rahaaa
 
Hahahahaaaaaa mganga moyo wako..... Halafu acha kunipigia simu kila saa, mwambie bi mkubwa akukumbatie.... Usisahau kesho kuja na chokleti....

By the way mganga kiuno changu haoa utarudi tu kwikwikwikwiiiii

Too late...
Limbwata yako imeisha nguvu nsharudi zangu kwa Amyner full nenda tena kwa mganga wa BAGAH
 
Last edited by a moderator:
duuuh!..laiti kama ma love dove yote yangekua yana cotto-fire namna hii!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom