Its officially OVER Erick!

Its officially OVER Erick!

"Kaka nipo hospital nimelazwa. Presha imepanda ghafla kutokana na ishu ya amyner. Please waambie memberz wa jf hasa chitchat waniombee nipone."

hyo meseji imetoka kwa Erick. Ame2ma kwenye cmu..

Nicky.. Dont believe the word he says.. I am done sympathizing him kabisa!
 
You are just the perfect shemeji bishanga.. If only ningekusikiliza before!

Remmy upo tayari kupangishwa foleni???

Amyner nimekuta micd col yako. Mbn hupatkan? Nlikuwa naoga.
 
Last edited by a moderator:
achana na majungu haya shemeji yangu Amyner belive what i am toking about, Erickb52 loves u.....true!

Najua wewe na Erick mpo very close.. So lazima umtetee your friend. He has broken my trust. I gave him so many chances.
Unakumbuka ile incidence ilotokea last week? And now this?! No way!
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhani Amyner ulikuwa na kila sababu ya kumshukuru kuwa ameamua kuwa mkweli tofauti na other boys who can cheat you na kukaa kimya.... mshukuru Erickb52 kwa kuwa mkweli na muwazi then ujue nini alikikosa halafu mipango iendelee vizuri
 
Last edited by a moderator:
If wishes were horses beggars would ride.........
Btw mhusika mkuu Erick yuko wapi,someone ought to PM him amwambie nyumba inaungua.

hivi Bishanga baada ya kuchemsha lizzy, Ts na Kongosho siku hizi umejificha kwa nani uncle?
 
Last edited by a moderator:
Shem Amyner hapo juu, umeniuliza tupo Jukwaa gani ?
Najibu tupo ChtCht na ndiyo maana hadi hivi mie nna imani issue haiko serious kiviiile.
Ingekua huu Uzi umeushushia MMU ningechukulia issue ni tough !
Na pia Zinduna talk show ingekua MMU napo pia ningesema Ndg yangu 52 alikua amedhamiria.
Hata hivyo yawezekana uko serious kupitia Chtcht coz kupanga ni kuchagua .
Naomba Shem unipe fursa ni uniridhidhie kua nahitaji niitishe kikao cha kifamilia thn tutoke kwako na tamko rasmi.
Rejea ngoma ya kikubwa hukesha, haiishagi ghafla na kitoto'toto!
Na ngoma ya watoto haikeshi!
Ipe nafasi ngoma ye level yetu ichukue nafasi yake.
Shem umenielewa?
 
just be my FWB ..
you will be more happier ....trust me
 
Hakuna cha maunt meru wala mount kilimanjaro, erickb52 nipo nae hapa, nimempa gemu ya ukweli hadi amesinzia....

Mbona sielewi? Taarifa za kiintelijensia zinasema njemba imelazwa mount meru kisha wewe unasema?
 
Qt B, i really regret loving this man!

pole mama!life has to go on,remember that amyner...me dont think alikua anamaanisha alichosema,was just utani wao tu...find out for evidences then umake decision mama..utawaacha wangapi sasa mama kumbuka kila mwanamme ana matatizo yake unlec maji ya shingo ndo tunaachaga hizi za kuskia na kusoma kwa jf hapa huwa tunachunguza na kuhakikisha kwanza ndo tunaacha mumie...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha fisi wala chui hapa...
Mie na erick, erick na mie....

i

Mmmmmmmmhhhhh haya.........ila ujue mfupa uliomshinda fisi.........Amyner ni dada mvumilivu sana,mpaka afikishwe hapo.....
 
Hakuna cha maunt meru wala mount kilimanjaro, erickb52 nipo nae hapa, nimempa gemu ya ukweli hadi amesinzia....

BT hata wewe?
Mtu wetu ?
Dam-dam!
Lako letu!
Letu lako!
Sina maana nafikiria kukuweka nje ya mtandao wetu laa hasha!
Bt nakusihi basi, kua mke mwenza, BT kuna ubaya mkiwa hivyo?
Na si tayari ushakua mke mwenza na Amy?
Tatizo nini BT ?
Amyner si ni wetu jamani ?
Hiyo kusema ameforgive forever ni hasira tu! Nafsi hurejea nyuma badae.
Au unaniambiaje? Aidha nitafurahi kuwatambua wote wewe na Amy ni My Shem, ukizingatia mila na desturi za kwao 52 zinaruhusu ndoa za multiple.
 
pole mama!life has to go on,remember that amyner...me dont think alikua anamaanisha alichosema,was just utani wao tu...find out for evidences then umake decision mama..utawaacha wangapi sasa mama kumbuka kila mwanamme ana matatizo yake unlec maji ya shingo ndo tunaachaga hizi za kuskia na kusoma kwa jf hapa huwa tunachunguza na kuhakikisha kwanza ndo tunaacha mumie...

Mimi penda hii !
 
kwa uandihi wako i can guess your age!!
 
Ooooo Amyner pole mamito. Achana nae huyo hakufai!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom