Kamati ya Mapinduzi ya Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

SS umeandikaje hapo juu?...nafasi gani tena?

si ninampa nafasi ya yeye kukiri kuwa amekubali kuachia ngazi ... ila kama atakuwa haeleweki bado basi tunapindua kwa nguvu
 
Msisahau kuniweka kwenye kamati ya Vinywaji..
Au kuwa mhasibu mkuu ..pesa zenu zitakuwa salama
 
Sasa ndugu yangu BAGAH, wewe endelea hapo na harakati mimi nikirudi jioni ni kukamilisha tuuu, ngoja niwatumikie Kwanza Watanzania hapa
 
Sasa ndugu yangu BAGAH, wewe endelea hapo na harakati mimi nikirudi jioni ni kukamilisha tuuu, ngoja niwatumikie Kwanza Watanzania hapa

usijali...mtally kaenda kuwachora fasta aje na data kamili tuzidi kuwavuruga...ukirudi nimemaliza kila kitu!
 
Mtally najua ww mjanja...njo tunakutana PLAYTIME...hope unapajua,wewe si mjanja!...achana na akina ericky vikao wanafanyia manzese!

Shaka ondoa, ngoja nijichanganye na konyagi mwitu ili nichangamke mapemaaa.
 
Wajameni hii vipi ?
"Uzi-Ajuza" huu umekujakujaje hapa ?
Unan'tia wahaka usijenivurugia Kinyemi changu kinachonipigisha Mswaki wangu currently!
 
katukumbusha mbali huyu,lakini all in all naamini husn yumo humu jamvini kwa ID nyingine.
Wajameni hii vipi ?
"Uzi-Ajuza" huu umekujakujaje hapa ?
Unan'tia wahaka usijenivurugia Kinyemi changu kinachonipigisha Mswaki wangu currently!
 
Back
Top Bottom