Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.

Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Mkuu ulitunza maneno vzr, sijui kama sasa unaweza kuyarudia
 
Dah kweli JF kuna GT's kumbe kwa hii thread mleta mada kama alijua kitachotokea yani nikisoma comments za watu

siasa bhana sijui alizianzisha nani
 
Back
Top Bottom