Rhobi1961
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 888
- 682
sio akaulize Ufipa??Kama ulikuwa hujui kaulize magogoni.
sio akaulize Ufipa??Kama ulikuwa hujui kaulize magogoni.
kama kuna kidume CDM athubutu kufukuza Lowassa, uwe unaweka akiba ya maneno.Hakuna mtu anayeweza kusema lolote kwa EL, ccm yote ni mali yake na wengine wote ni watumwa wake tu, wewe hukumbuki walikuja na sera za kuvua gamba huoni EL anavyowavua magamba mawaziri? Kama kuna kidume ccm athubutu kumfukuza EL uanachama.
Mkuu nataka nione post zako za sahizi kuhusu lowassa...nani ampokee fisadi?
Hata jk[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]akuna mwenye ubavu wa kumtimuwa lowassa ndani ya ccm.
Naam... Baada ya miaka miwili naamini umeona Unafki katika Siasa za TanzaniaNilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Ha ha ha ha sijui uko wapi?nani ampokee fisadi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
Hahaha ha ha ha wapinzani hewa nyieMwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
We jamaaa ni usalam niniWeka kumbukumbu ya kauli yangu tutakumbushana 2015!.
Pasco
Hii ID haifanyi kazi. Jamaa kaingia mitini.Hatuwezi kumpokea CHADEMA kamwe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hawa wapinzani hewa ni shida sana mkuu.Hahaha ha ha ha wapinzani hewa nyie
Unasema nini sijaelewa?CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
Ndiyo ukome siku nyengine kusema vitu haviwezekani.Hatuwezi kujadili vitu visivyowezekana,rejea LIST OF SHAME pale Mwembeyanga!
Kumbe ulikuwa hajui?!. Ofisi yangu ni lile ghorofa la mithili ya meli pale mkataba na kanisa la St.Peter. Karibu unitembelee ila ikifika pale usiniuzie kwa jina hili la Pasco wa JF, hili ni jina la huku jf tuu, kule tunatumia majina mengine ya kikule kule, hivyo ili unipate ukifika pale muulizie mtu anayeitwa Chifu, utaletwa ofisini kwangu ila usije siku ya Ijumaa maana inaweza kukosekana nyumbani kwako Ijumaa hadI Jumatatu asubuhi wakapata wasiwasi kwa sababu simu unaicha getini.We jamaaa ni usalam nini
Mkuu sijui sasa hivi ana cheo gani pale ufipa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli chadema balaa bro lowasa yuko wapi leo?
Duh, aisee wewe unapenda sifa.Kumbe ulikuwa hajui?!. Ofisi yangu ni lile ghorofa la mithili ya meli pale mkataba na kanisa la St.Peter. Karibu unitembelee ila ikifika pale usiniuzie kwa jina hili la Pasco wa JF, hili ni jina la huku jf tuu, kule tunatumia majina mengine ya kikule kule, hivyo ili unipate ukifika pale muulizie mtu anayeitwa Chifu, utaletwa ofisini kwangu ila usije siku ya Ijumaa maana inaweza kukosekana nyumbani kwako Ijumaa hadI Jumatatu asubuhi wakapata wasiwasi kwa sababu simu unaicha getini.
Pasco
Wanaojua kilifanyika nini wanajua na hawashangai!.Haya siyo mapenzi,ni mahaba.
Pole sana Mkuu.