Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Huu uzi unahitaji udi na uturi achilia mbali parfume maana ni khatari sana.Hakika Makaburi yaachwee kama ya livyo maanake watu watakimbiana huku na huko.
Huu uzi unahitaji udi na uturi achilia mbali parfume maana ni khatari sana.Hakika Makaburi yaachwee kama ya livyo maanake watu watakimbiana huku na huko.
Hii unaikumbuka?nani ampokee fisadi?
Lazima alibadilisha jina huyoWewe ulikuwa hujui kuwa ni Mfuasi tu wa Chadema sio Mwanachadema ukawa unajtutumua kuongea kwa niaba ya Chadema Ona sasa umeumbuka!
[emoji117] "... on ne connaît jamais l'avenir ..." hadi nimetamani kuwa Frenchman .... French tamu basi tu cjui nilichelewa wapi? [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahahah,hii thread imenichekesha na imedhihirisha kuwa on ne connaît jamais l'avenir.
Exactly ... pesa yavunja had miambaPesa yaweza kununua kila kitu kasoro uhai tu! Ni aibu pasee hii walahi! Yewomi eh!
Huku CDM hapana
Hakuna mtu anayeweza kusema lolote kwa EL, ccm yote ni mali yake na wengine wote ni watumwa wake tu, wewe hukumbuki walikuja na sera za kuvua gamba huoni EL anavyowavua magamba mawaziri? Kama kuna kidume ccm athubutu kumfukuza EL uanachama.
Nani wa kumfukuza EL ccm?Uwaziri mkuu wenyewe kaujiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe!
EL hawezi fukuzwa CCM na hawezi kuhama CCM hata jina lake likikatwa kwani yeye atakua king maker come 2015 na atatoa raisi si mwingine.....Nape na Mangula ndo watakao kimbia
Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
kwani panya () anaweza kukaa kwenye kundi la paka?
kwa stahili hii lazima ukimbie ID yakoNani anataka hilo zigo
Mkuu nakusalimia.nani ampokee fisadi?
CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
Hahahaha, tuitafute kwa udi na uvumbaExactly ... pesa yavunja had miamba
Haswa asubuhi, mchana na hata jioni .... kiangazi na masika pia ....Hahahaha, tuitafute kwa udi na uvumba
Hahahaha kwa kweli walahi!Haswa asubuhi, mchana na hata jioni .... kiangazi na masika pia ....
Proposal yetu vipi ndugu yangu?Haswa asubuhi, mchana na hata jioni .... kiangazi na masika pia ....
Mie nilisubiri ruhusa toka kwako ili tuendeleeProposal yetu vipi ndugu yangu?