wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,290
- 3,946
ID's nyingi za kwenye huu uzi haziko active tena,sijui makamanda wamebadili majina!?
Wote wamebadili ID zao, chezea Fisadi wewe!ID's nyingi za kwenye huu uzi haziko active tena,sijui makamanda wamebadili majina!?
Akiba ya manenoWadigo wana msemo wao usemao "USINENE UKAMARA" yaani usiseme ukamaliza.
Hii inafanyika/inakubalika Tanzania 2. Na ni kutokana na idadi kubwa ya vichaa iliyopo nchini kama takwimu zilivyotolewa na wataalam. Na 91% ya vichaa wapo CDM ambapo CUF ni 8%. Kwa sbb ya viloba.
sijui kama mbowe alimkumbusha El kuhusu kurudisha mali ya umma kwanza!!!!!!Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.
:cool2:
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huku CDM hapana
Walitumia maji gani mkuu kumsafisha???Nani anataka hilo zigo
Imekuwa sasahakuna ccm bila lowasa na hitakuja kuwa ccm bila lowasa milele.
Mkuu upo upande gan aisee....??Chadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.
Ah ah ah mwizi kaokokaaMwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Mabadilikooooo ukawaaaaa ukawaaa mabadilikooooAkifukuzwa azunguke aeleze namna ilivyoshiriki kuhujumu nchi kwenye richmond na EPA, halafu baada ya hayo astaafu siasa tu akafuge mifugo yake Monduli..
Hahaha. Na mwisho wa ukawa ni liniKama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
VIP una kumbu kumbu vizurii juu ya jii post maana nimdaa mlefuu umepita he sikuile wapo kujaa ulifanyaa nnChadema hawawezi hata kidogo kumpokea EL. Sumaye kwa haiba yake kwa jamii ya wana mageuzi anaweza pokelewa Chadema.
Ujuee munguu Ana kuona wwMbowe na Padri Slaa walishaweka msimamo wazi kuwa safari hii HAWATAPOKEA MAKAPI kutoka CCM