screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,916
- 15,974
Mkuu nitakusaidia kwa hilo, kilasiku nitakuwa naweka comment mojamojaDuuh haya makaburi mnayoyafukua kuna watu wanaumia sana
Naahidi huu uzi ntakua nau update ili wayaone matapishi yao
Vilaz aaaaaa wa mwendokasi waio kuwa na msimamo hawa