Wamemfukuza Lowassa, actually Lowassa ndo alikimbia mwenyewe baada ya kukatwa na 2015 wamevuka salama.Kama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
Sasa kuna mtani wa wazaramo huko Ikulu anawaambia mfyatue tu.
Wamemfukuza Lowassa, actually Lowassa ndo alikimbia mwenyewe baada ya kukatwa na 2015 wamevuka salama.Kama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
nani ampokee fisadi?
Kama mna ushaidi mpelekeni mahakamani, si maneno ni cdm haoMwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
nani ampokee fisadi?
jibu ni hapana
hebu rudieni tena.Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Thubutuuuuu, nyumbu Waje?hebu rudieni tena.
mwz hatakiw cdm, ccm hawawez kumfukuza wao sheria hamna ila kufahamiana. panya hawez kumfukuza panya
CCM Kamwe hawawezi kumfukuza Lowasa hawana ubavu huo wakijaribu tu ndio utakuwa mwisho wao.
kikwete atahakikisha lowassa anapitishwa,ana siri nyingi za jk huyu mamvi
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Bado unamawazo yako?? Ama ulisahau kuhifadh manenoChadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.
Vp sasaiv sio mwizi tena ama yuko anafanya nini?Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Uliona mbali sana kuliko Bavicha na vijana mifugo wa Baba mkweNilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Bado unachakusema?? Siku nyingine jifunze kuhifadh manenoCDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
Vp bado una maono ya kinabii kama Lema kisongoUmefikiri sana kitu ambacho hakipo wala hakiwezekani!!!
Bado unamisemo yako ya khanga?? Siku nyingine jifunze kuhifadh manenomwz hatakiw cdm, ccm hawawez kumfukuza wao sheria hamna ila kufahamiana. panya hawez kumfukuza panya
Bado una ndoto za unabii wa viroba kama yule nabii kiroba wa kisongoKama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.