Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Safi sana na hayo ndo yalitokea hongera kwa kua na maono mazuri mkuuHawawezi achakumpokea kwa Kuwa viongozi wajuu wote ni MAFISADI kama yeye!
Safi sana na hayo ndo yalitokea hongera kwa kua na maono mazuri mkuuHawawezi achakumpokea kwa Kuwa viongozi wajuu wote ni MAFISADI kama yeye!
Bado unajambo la kusema ama uko unjarbu kutafakari unabii baada ya kupiga viroba na kumtafuta mfugo uliopotea tokea novemberMbowe na Padri Slaa walishaweka msimamo wazi kuwa safari hii HAWATAPOKEA MAKAPI kutoka CCM
Nadhani hata wewe ukuangalia page zako vizuri utakuta hukuweka akiba kuhusu huyu bwana. Nadhani kila mpinzani alishawahi kumtukana huyu mzee. Si unajua enzi za list of shame. Ila siasa bana!Lahaula..hapa ungebakisha akiba ya maneno ungekua salama sana mzee
mimi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tu mkuu.Thubutu! Nani atathubutu kttoa kauli ya kumtimua EL? Labda asiyejua yaliyomkuta Mkama!
Ningependa hii kauli uirudie tena leo ila sijui kama unaujasili wa hivyo kwa sasa.nani ampokee fisadi?
sasa hivi huu msemo uko kinyume chake mkuu, unaweza kuukanusha kweli?hakuna ccm bila lowasa na hitakuja kuwa ccm bila lowasa milele.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]akuna mwenye ubavu wa kumtimuwa lowassa ndani ya ccm.
Nani alikwambia El ni mwizi [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Kweli ni watu makini, vipi bado huo umakini upo.Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
sijui sasa hivi amepewa nafasi gani huko!!CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huyo huyo mkuu aliekataliwa na baba wa taifa ndo mgombea uraisi 2020 .CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
Nyoosha kauli kama mwanaume sio hata 2015 alikuwa mgombea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huyo huyo mkuu aliekataliwa na baba wa taifa ndo mgombea uraisi 2020 .
Mkuu hiv hukupiga kura kweli? Naimani ulimpigia lowassaChadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.