Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Boss, hunijui.
Nakujua kwa jina lako la jf la Magonjwa Mtambuka, siwezi kukujua kwa jina lako la kule ila kwa data za jikoni unazoshusha humu then wewe utakuwa ni kati ya wale wahudumu wa bustani ambao hata getini hurusiwi kufika!.
Pasco
 
Kumbe ulikuwa hajui?!. Ofisi yangu ni lile ghorofa la mithili ya meli pale mkataba na kanisa la St.Peter. Karibu unitembelee ila ikifika pale usiniuzie kwa jina hili la Pasco wa JF, hili ni jina la huku jf tuu, kule tunatumia majina mengine ya kikule kule, hivyo ili unipate ukifika pale muulizie mtu anayeitwa Chifu, utaletwa ofisini kwangu ila usije siku ya Ijumaa maana inaweza kukosekana nyumbani kwako Ijumaa hadI Jumatatu asubuhi wakapata wasiwasi kwa sababu simu unaicha getini.
Pasco
Wee kichaa una unachokitafuta
 
Nakujua kwa jina lako la jf la Magonjwa Mtambuka, siwezi kukujua kwa jina lako la kule ila kwa data za jikoni unazoshusha humu then wewe utakuwa ni kati ya wale wahudumu wa bustani ambao hata getini hurusiwi kufika!.
Pasco
Ha ha ha, endelea kufikiri hivyo hivyo.
 
14519697_10205768230803280_1472244259211994223_n.jpg
 
Wee kichaa una unachokitafuta
kichaa ni level tuu, kitu mtu ana kichaa chake kwa level yake, hata wewe Mkuu Ngelechi, usikute ni kichaa mpaka.. ila tu bado hujaanza kuokota makopo, hivyo huku kuita vichaa wenzako ni vichaa, ndio dalili za mwanzo kuwa sasa unakaribia kuanza kuokota makopo!.

Pasco
 
Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.

:cool2:
jifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Mimi sio mwanachama hai wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini, lkn ni kujidanganya kusema eti mwanachama kama EL anaweza kuwa maarufu zaidi ya chama chake. Kama kuna mfuasi au wafuasi wa EL wanafikiri hivyo basi wanajidanganya na kuota ndoto za mchana! Na kama kuna wafuasi wanajiunga na vyama vya kisiasa kwa sababu ya kufuata watu au mtu fulani (individuals) kama hao si wanasiasa ni bendera fuata upepo! Watanzania wenzangu ebu turudi shuleni kidogo kwenye somo letu la uraia tujifunze nini maana ya chama cha kisiasa na wafuasi wake.
Nadhani siku ulioandika hapa wengi walikupuuza sana mkuu.
 
CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.

Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Utakuwa umebadili ID nowadays
 
Back
Top Bottom