Last edited by a moderator:
kumbe kwa mambo mengine wewe ni mkubwa eeh
Mr Rocky sijaukana uzi wangu ila nasema kweli yatoka moyoni. natafuta njia pia ya kujinasua kutoka mikononi mwa Evelyn Salt nimechoka kupigwa vichwa
Mr Rocky sijaukana uzi wangu ila nasema kweli yatoka moyoni. natafuta njia pia ya kujinasua kutoka mikononi mwa Evelyn Salt nimechoka kupigwa vichwa
kweli eeee? ngoja niitishe kikao cha familia dada zangu Arabela na King'asti waje hapaMbona kitu rahisi tuu mkuu Slave unatangaza talaka unakuwa free sasa ole wake ajilengeshe kiumbe mpya ndani ya chit chat wewe unaye kabla wakware kama Erickb52 na Arushaone hawajamuwahi Evelyn Salt mhurumie kaka yangu bana
kaka nisaidie kimya kimya hawezi kujua .Tangaza nia kabisa Evelyn Salt awe na taarifa kuwa una mpango wa kuivunja ndoa yako
Ila mi sio mshauri aise wa kuvunja ndoa asije binamu yangu Evelyn Salt akaiona