It was my day

It was my day

Duh! kweli inatokeaga watu wanasahau kama ni besdei zao.....

Happy birthday Mamndenyi, may you live many many many years more than the late Bi Kidude!!!
 
Last edited by a moderator:
wachoyo utawajua tu.... Mamndenyi
images
 
mungu akutangulie Mamndenyi ila wewe Mr Rocky sina uhakika kama umekubali kiroho safi nahisi una ka kinyongo kwa mbali. unapo mwambia mamndenyi kuwa upo na wife wako Dena Amsi unataka kumuumiza roho mdenyi.......?
kwa taarifa tunasubiri mtengane na dena amsi watu tuanze kusorolea mzigo teh..teh...
wangu wa ubani,udi karafuu,pemba,mchele miss @evelyn salt kuja utoe ushuhuda jinsi navyo kupe......? kunpendaaa...

Sikujua kama una roho mbaya kiasi hiki dah
 
Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.

Afu kwa nini leo umeondoka bila kuninyooshea nguo, ulidhani kazini ntavaa msuli!??
 
ha ha haaa
ni sawa tu na baba yake tabia zilikuwa hivyo hivyo ila
ukubwani wanatulia vizuri tu.
alinitelekeza..nikamuacha...alimwaga mboga,nikamwaga ugali..vyombo nikagwa na jiko nikavunja..nikahama
 
Baba V nilipoona imefika saa saba za usiku haujarudi ilibidi niondoke
kwenda kulala kwa mjumbe
mambo ya nguo muulize houseboy wetu, tena marufuku kuleta house girl.
Afu kwa nini leo umeondoka bila kuninyooshea nguo, ulidhani kazini ntavaa msuli!??
 
Last edited by a moderator:
ha ha haa
yule atanihamisha mazima
lakini mara ya mwisho alisema tayari anahudumiwa
ina maana unamtamani AMAKTRINA?

Simtamani ila kwa mwendo huu wa kunyosha nguo zangu mwenyewe asubuhi, inanibidi..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom