Jamani nimeikosa siku yako ya kuzaliwa.. Happy Birthday shemeji.. Japo nimesikia mengi wakati nilipokuwa busy na kuumwa.. Ati ni kweli Mwita Maranya amekuacha..?
Jamani nimeikosa siku yako ya kuzaliwa.. Happy Birthday shemeji.. Japo nimesikia mengi wakati nilipokuwa busy na kuumwa.. Ati ni kweli Mwita Maranya amekuacha..?
Ahsante sana Kamanda Mwita Maranya.. Afya kidogo imerudi hapa.. Duh hali ikawaje sasa maana niliambiwa alikuwa anatafuta kamba ati ajitundike lol..!
Hilo la miaka naona itakuwa siri yake cijui kama atasema hata ukimrudia..
Mwita Maranya ulinipiga chini wapi mbona sijaona uliponipiga.
miaka isome hapo kwenye ubao juu.
Hahaha unataka kupotezea enh? Pigo langu halionekani kwa macho. Ukijitazama kwa moyo na feelings utaliona!
Btw, Happy birthday mpenzi! oh no sorry! Happy belated my ex mchumba Mamndenyi.
sosoliso maisha matamu hivi unatafute kamba kisa Mwita Maranya mwenye wanawake wengi kuliko saccos ya Madame B, haiwezi tokea.
Miaka yangu anaijua vizuri tu ni sawa na ya shangazi yake.
hapana mumeo alisogeza kidogo mpaka ila tulikwishamalizana.