hahahahah mafile nishayaachia Mamndenyi sina haja ya kuwa nayo tena bana mimi kwa sasa niko na my wife wangu Dena Amsi na anakutakia birthday njema na hao uwapendao. Mhhh kweli majanga maana kila kidume cha humu chit chat kinataka kuwa na wewe sijui umeenda Bwagamoyo kwenda kuchukua kizizi cha kuwavuta maana kuna Slave, Katavi, St. Paka Mweusi, Baba V , Arushaone, Kaizer, manoah na Bishanga
Hahahahah ila wamekuwa balaa kila anayeamka huko anakuja na uzi wa kumtaka Mamndenyi
kwanini mliachana na mkeo? alafu inaonekana
ulikua tatizo la ndoa yako na mkeo kuingia kwenye mgogoro.
Slave simpi wivu Mamndenyi ila ni kumwambia wazi kuwa sina tena file lake nishayatupa niko na file kla wife wangu Dena Amsi tuumungu akutangulie Mamndenyi ila wewe@mr rocky sina uhakika kama umekubali kiroho safi nahisi una ka kinyongo kwa mbali. unapo mwambia mamndenyi kuwa upo na wife wako Dena Amsi unataka kumuumiza roho mdenyi.......?
kwa taarifa tunasubiri mtengane na dena amsi watu tuanze kusorolea mzigo teh..teh...
wangu wa ubani,udi karafuu,pemba,mchele miss evelyne salt kuja utoe ushuhuda jinsi navyo kupe......? kunpendaaa...
mungu akutangulie Mamndenyi ila wewe@mr rocky sina uhakika kama umekubali kiroho safi nahisi una ka kinyongo kwa mbali. unapo mwambia mamndenyi kuwa upo na wife wako Dena Amsi unataka kumuumiza roho mdenyi.......?
kwa taarifa tunasubiri mtengane na dena amsi watu tuanze kusorolea mzigo teh..teh...
wangu wa ubani,udi karafuu,pemba,mchele miss evelyne salt kuja utoe ushuhuda jinsi navyo kupe......? kunpendaaa...
hahahahah mafile nishayaachia Mamndenyi sina haja ya kuwa nayo tena bana mimi kwa sasa niko na my wife wangu Dena Amsi na anakutakia birthday njema na hao uwapendao. Mhhh kweli majanga maana kila kidume cha humu chit chat kinataka kuwa na wewe sijui umeenda Bwagamoyo kwenda kuchukua kizizi cha kuwavuta maana kuna Slave, Katavi, St. Paka Mweusi, Baba V , Arushaone, Kaizer, manoah na Bishanga
Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.
Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...Manoah si unajua tena lazima uwe na wa pembeni kupoozea machungu ya separation bana na ndo nilichofanya kwa Mamndenyi Slave we umekuwa mzee wa sitaki nataka au kipondo cha Evelyn Salt kimekurudisha ukawa mdogo kama priton maana naona ulianzisha uzi kwa sasa unaukana kabisa kama sio wewe Katavi mbona mapema aise kujitoa kwenye race