Angalia tuu usije ukajuta kumwacha Evelyn Salt aise ukajikuta unakaa mwaka hujapata mwinginekaka nisaidie kimya kimya hawezi kujua .
Last edited by a moderator:
Angalia tuu usije ukajuta kumwacha Evelyn Salt aise ukajikuta unakaa mwaka hujapata mwinginekaka nisaidie kimya kimya hawezi kujua .
kushindwa kujieleza, ndio inaonesha kua kuna ka ukweli unakaficha hapo.. ngoja Dena Amsi aje anaweza weka mambo sawa...
mimi tena, mambo ya ndani yanabaki kua siri za ndani, ila mbona mlipo achana ( kutengana ) haikua siri ya ndani>?
Kuachana sio siri maana ulimwengu wote wanajua kuwa mmeachana maana mnakuwa hampo pamoja ila yale mnayoyafanya mkiwa chumba cha ndani ni siri yenu wawili hata kama mnalala mzungu wa nne hiyo ni siri yenu hata kama mlikuwa kila siku mnadundana ngumi hizo ni siri zenu
Ila mkishaachana kila mtu anapaswa kujua kuwa hawa wawili hawako pamoja ila kilichowafanya muachane au nini kimetokea mpaka kufikia hapo hayo ni yenu mbaki tuu huku nje mnabuni labda infidelity au kudundwa au kutopata watoto au lots of mambo

nipo around, sahau mzee kuja kwako, utabaki hivyo hivyo...
Mr Rocky , amaenichanganya, alisema walitengana... nimekaa kidogo ana sema waliachana sasa sijui hapo imekaaje
leo nifanunulie maana ya kutengana na kuachana.
Mkuu manoah ndo ani tamu sana asikuambie mtuMr Rocky .... mjanja sana!
ngoja nikae pembeni kwanza haya mambo ya ndoa siyawezi...
Mkuu manoah ndo ani tamu sana asikuambie mtu
Yaani ukimpata right person at a right time na ambaye mko pamoja kwa kuwa mnapendana na sio kwa kuwa anafuata chochote kwako au anakufuata kwa kuwa ni good looking au sijui anapenda pesa zako au mali zako au ulimfurahisha siku ya kwanza kukutana nae utaenjoy sana
ila ukiwapata hao ambao wako wako tuu mkuu utaona kitanza na nyumba yako kama kituo cha polisi

Mr Rocky sijaukana uzi wangu ila nasema kweli yatoka moyoni. natafuta njia pia ya kujinasua kutoka mikononi mwa Evelyn Salt nimechoka kupigwa vichwa
Mbona kitu rahisi tuu mkuu Slave unatangaza talaka unakuwa free sasa ole wake ajilengeshe kiumbe mpya ndani ya chit chat wewe unaye kabla wakware kama Erickb52 na Arushaone hawajamuwahi Evelyn Salt mhurumie kaka yangu bana
Tangaza nia kabisa Evelyn Salt awe na taarifa kuwa una mpango wa kuivunja ndoa yako
Ila mi sio mshauri aise wa kuvunja ndoa asije binamu yangu Evelyn Salt akaiona
usimdanganye mtoto ina utamu gani kwani.
manoah karibu sana kwenye chama kama uko tayari na una mwenza wako ambaye naye yuko tayari kuyakabili majukumu ya ndoa na changamoto zake
Angalia tuu usije ukajuta kumwacha Evelyn Salt aise ukajikuta unakaa mwaka hujapata mwingine
hahahaha alihaha kuanzisha uzi wa kumpenda Mamndenyi mara hii kaukana faster kabla hata wino alioutumia kuandikia haujakaukahuyu nduguyo wenge tu.....
hivi una mpango wa kunidaka nini?
mbona huishi kumshauri Slave aniache?