Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
wanaitwa, wawekezaji!
kwani haujui wale wenye wengi wengi wanaitwaje
kwani haujui wale wenye wengi wengi wanaitwaje
Manoah si unajua tena lazima uwe na wa pembeni kupoozea machungu ya separation bana na ndo nilichofanya kwa Mamndenyi Slave we umekuwa mzee wa sitaki nataka au kipondo cha Evelyn Salt kimekurudisha ukawa mdogo kama priton maana naona ulianzisha uzi kwa sasa unaukana kabisa kama sio wewe Katavi mbona mapema aise kujitoa kwenye race
Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...Manoah si unajua tena lazima uwe na wa pembeni kupoozea machungu ya separation bana na ndo nilichofanya kwa Mamndenyi Slave we umekuwa mzee wa sitaki nataka au kipondo cha Evelyn Salt kimekurudisha ukawa mdogo kama priton maana naona ulianzisha uzi kwa sasa unaukana kabisa kama sio wewe Katavi mbona mapema aise kujitoa kwenye race
na Dena Amsi alikua nani, ili kupoza machungu yake?
Katavi mwanaume haruhusiwi kukata tamaa mkuu unapambana mpaka mwisho bila kuangalia nani mbabe nani mnyongeNimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...
ndo maneno hayo
ya Mungu mengi pengine tutakutana tena wakati ujao.
Kwa taarifa nilikuwa nawamiliki wote wawili niko na Mamndenyi kama nyumba ndogo wakati huo huo naenda kwa Dena Amsi kumpa haki yake bila Mamndenyi kujua (siri yako hii nakupa)
Katavi mwanaume haruhusiwi kukata tamaa mkuu unapambana mpaka mwisho bila kuangalia nani mbabe nani mnyonge
tena wewe hata kama ni mnyonge unajitutumua kama baunsa vile huku unaficha uso