IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol




hahahah! Wee Mwali wewe mbona wajiwahi? Alafu you are so lovable.... kweli kabisa kwa shemejio nitakuruhusu karibu kama nipo kama guide! lol
 


haha haha haa
 

Najua kwamba haijakaa vizuri, ila pamoja na mambo yote huwa nachukua tahadhari. Lakini kama kuna urafiki ambao hauna dalili ya kimahaba nadhani hamna tatizo. Sometimes unaweza ukaleta mashaka ambayo si ya lazima halafu yakakuletea matatizo.
 


Kwa upande wangu naona yaweza kua hiviz;

  • Anataka kukuchafulia kwa wakaribu wenu (seko ya marafiki zenu) kua ulimtoa mahala na hali sio kweli.
  • Alikua na jamaa, but wakaachana kwa sababu zao wenyewe alafu hajawahi kukuambia only to realise jamaa kaja kwako.
  • Ni kweli walikua wapenzi but aliweka siri, huyo ex akakufahamu kupitia kwake but hajawahi wakutanisha; anatemwa na kukuta he is with you.
 
Hii nayo huwa pasua kichwa

 
hahahah! Wee Mwali wewe mbona wajiwahi? Alafu you are so lovable.... kweli kabisa kwa shemejio nitakuruhusu karibu kama nipo kama guide! lol
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!
 
Sasa nimekupata Vin...lol... No longer mad as you can see.... Care to say kama hio hali imekukuta nini utafanya nini?

Nimeona cases nyingi sana kwa watu wangu wa karibu....mara nyingi wahanga ni wasichana...hii inatokana na uzoefu wangu...ikitokea kwangu sitakuwa na choice zaidi ya kuquit...
 

Mwali dia, ukaribu fanya na shostito wako na sio na mpenzi wake. Nikweli hauna nia mbaya ila pia kujihadhali just in case. Si unajua kinga ni bora kuliko tiba?
 

Ni kweli mamii, kujibweteka sana siyo nzuri mana penzi/pendo linahitaji kupaliliwa kila mara. Halafu sipendi kitu cha rafiki yangu/ndugu kujifanya kamzoea sana mpenzi wangu, huwa sibakishii mtu..kwamba eeeh, hayo mazoea mabaya na siyapendi tena mbele yao wote..kwa kuwa muwazi hilo halinishindi maana kama kuna chembe chembe ya kuviziana ife na isifanyike mbele yangu..

Mazoea mabaya+mazingira = vishawishi vya uzinzi

On a note side: Ntakutumia hilo swali mumie, yaani unipe insight zako..nahisi niko katika ulimwengu ambao siufahamu kabisa, huh!..sasa hivi nakutumia.
 

...there should be a limit basi, maana unakuta mwingine ana brag mpaka mambo yanayohusu na kufanyika ndani ya kuta nne kwa marafiki/mashoga zake. Heshima ipo wapi sasa hapo? ...mtu anakuwa anajifungia kitanzi mwenyewe kwa kuwa tempt the evil minded.
 

....wow, BJ raha kukusoma tena kwenye ulimwengu huu wa mahaba...lol
karibu bana, usipotee kihivyo
😛hoto:
 

Hivi kunawatu waweza simulia mambo yao wanayofanya private na waume/wake zao mwanzo mwisho kwa rafiki zao??? Mbona ngumu kuamini!!!
 

...there should be a limit basi, maana unakuta mwingine ana brag mpaka mambo yanayohusu na kufanyika ndani ya kuta nne kwa marafiki/mashoga zake. Heshima ipo wapi sasa hapo? ...mtu anakuwa anajifungia kitanzi mwenyewe kwa kuwa tempt the evil minded.

Ni kweli kamanda. Kutokuwa na mipaka ni dalili ya immaturity. Mtu mzima mwenye common sense hawezi kuongelea intimacy details za love life yake.

Sikumaanisha hata kidogo kuwa mtu azungumzie sijui nyonyo za mkewe zimeumbika hivi, mihemo yake iko vile, sijui akifika kilele huwa ananikwaruza, sijui ni mtaalamu wa microphone...hapana...si hivyo hata kidogo. To me that's just TMI.
 
Reactions: Mbu
Mwali dia, ukaribu fanya na shostito wako na sio na mpenzi wake. Nikweli hauna nia mbaya ila pia kujihadhali just in case. Si unajua kinga ni bora kuliko tiba?
Tupo karibu wote watatu. Kwanza kabisa nimekumbuka mi nilimjua huyu mpenzi wake hata kabla yake, na nilifurahi kuona wamejenga relation. Mi sina hisia za kimapenzi nae. Najua kinga ni bora kuliko tiba na ndio maana nilisema siwezi kufanya nae mautani ya kimahaba, lakini ule urafiki wa kuongea na kuspend quality time sioni kwa nini niache, so long as mpenzi wake anakua na sisi, au anajua tuko pamoja.
 

Mwali,

Sasa ushawaunganisha si uwaache tena waendelee wenyewe :lol: au wewe upo single so unakosa kosa company?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…