Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Kirusi hakijawahi kua na dawa tangu kuumbwa kwa dunia.

Ila hua kuna vipunguza makali. Hiyo kachumbali unayoibeza ukiikuta kwenye chupa ya mzungu hutaitilia shaka.

Pamoja na hayo, siungi mkono kuikataa chanjo, ila nilidhani hao wanao iona tanzania kama threat kwa dunia basi waache kuifanya chanjo kama intellectual property , watuhusishe kwenye utengenezaji na utoaji ili twende sawa.

Kama hawataki basi Raisi wetu atazidi kuwa shupavu hasa kwa mataifa maskini na ya kiafrica.

Dunia ya leo ni hatari kununua mbuzi kwenye gunia.

Hata hivo, Raisi wetu ndie kiongozi wetu na anajua mengi.

Ushauri kwa Raisi, kaa na viongozi wa dini, waeleze ukweli unaoujua kwani wengi wao ni wana art, sayansi zero. Baada ya hapo tuombe ushiriki kwenye utengenezaji wa chanjo na michakato yote la sivo acha tufe tu,

Hata hivo wazee kwetu ni wachache na kwani kina wauma nini hao ma beberu?! Si wakichanjwa wao wanakua salama!

Wajiamini na chanjo yao watuache sisi.
Matatizo tulishazoea, subsaharan

Vita kwetu, magonjwa hatujaanza leo, njaa kama kawa, ukimwi na ebola safi tu.

Leo mbona wanakomalia Covid 19

Tuwe nabusara. Raisi wetu anakitu anajua. Tukiendelea kumpigia milunzi mingi tutampoteza.

Maoni binafsi.
Yaan sidhan kama unaelewa ulichoandika chief..

Hii ni sawa na kuwakuta kuku wako wanakufa na kideri badala ukawatafutie tiba unasema acha wafe maana ata ukiwatibu kideri kipo tu yaan unasahau kua ata wakifa mwenye hasara anabaki kua wewe na sio kideri...

Kiukweli ata hyo Rais wetu nafikiri kuna mda ata yeye mwenyewe anailaumu ccm kwa kutengeneza watu aina yako!
 
Kwahiyo na hayo mataifa yanayotoa takwimu kila uchwao wamejikinga vipi na corona au maambukizi kwao ndio yamepungua kwa kutoa takwimu na sisi tusio toa ndio tunaangamia au?
Ni kweli maambukizi na vifo vinavyotokana na corona, kwa mataifa mengi vimepungua sana kutokana na hatua mbalimbali walizochukua. Mataifa kama US, UK, Israel wamefanikiwa sana kupunguza vifo, japo cumulative number ukiangalia utaona inazidi kupanda. Lakini vifo na maambukizi kwa siku vimepungua kwa kiwango kikubwa sana. Marekani vifo vinapungua kwa wastani wa 40% kwa wiki, UK wamepunguza wastani wa cases 28 kwa siku, Israel wamepunguza vifo kwa 94%. Haya Ni mafanikio makubwa sana.

Lakini kinachowasaidia sana ni ukusanyaji wa taarifa. Huu utaratibu wa kwetu wa kutoakupima na kutoa takwimu ni wa kijinga, kishamba na kimbumbumbu kabisa. Takwimu ni muhimu sana katika jambo lolote. Ndiyo zinakupa picha ya ukubwa wa tatizo, ndizo zinakuongoza kuona kama mbinu zako zinafanya kazi au hapana.

Kutokupima na kutokutoa takwimu, kwa kweli kunafanya elimu ya Rais Magufuli kutiliwa mashaka makubwa sana. Ni mwanasayansi gani hajui umuhimu wa utafiti na takwimu? Labda alisoma tu masomo ya sayansi lakini hajui sayansi.
 
Wewe ndio jinga! Hivi vifo utaficha? Huko uliko mataani kwako wamekufa wangapi kwa corona?

Ukienda makaburi ya jirani kwenye mtaa wako kuna ongezeko la % ngapi la makaburi mapya?
Pale Nzega kuna ongezeko si chini ya 20% ya makaburi mapya. Usifurahie ujinga wala usijione fahari kuishi kwenye giza la ujinga.

Mtu yeyote mwenye akili, iwe ni tatizo au mafanikio, hupima kwa takwimu. Ndivyo watu wote wenye akili na walioelimika wanavyofanya.

Tunapoonekana ni Taifa wajinga Ni pale tunapotegemea kauli za wanasiasa badala ya kutegemea tafiti zinazotumia takwimu.

Wengi wamegeuzwa majuha na wanasiasa. Badala ya kuwasikiliza wataalam wanaotumia tafiti na takwimu, wamekuwa watumwa wa matamko ya Rais, ambayo ni absolutely 100% wrong.
 
Ule ulikuwa ni upuuzi wa Trump kwa raia wake na pia wenzetu wanaripoti vifo na wagonjwa sasa sisis haturipoti sio vifo wala wagonjwa utajuaje idadi ya vifo?Au ni taifa la kupiga ramli badala ya sayansi?
Rais Magufuli ameirudisha Tanzania kwenye primitivity ya kiwango cha juu. Anataka Taifa litegemee kauli za kijinga toka kwa viongozi wajinga badala ya tafiti za Kisayansi ambazo ndizo zimeiongoza Dunia kwa miaka mingi.

Hakuna mlipuko wa ugonjwa Duniani ambao uliwahi kuthibitiwa kwa maombi pekee yake. Ni simple logic kw kiongozi mwenye akili.
 
Akili yako haina akili mkuu

Unataka kuniambia Wingereza ilipoyapiga marufuku Baadhi ya mataifa kuingia kwake wewe ulikuwa na miaka miwili siyo?

Hata hivyo, mataifa tulyozuiliwa kuingia huko, tutatembeleana Sisi Kwa Sisi, shida iko wapi
Mtatembeleana wenyewe kwa wenyewe ili muuziane maboga na mafenesi? Muulize Kabudi kwa nini ameenda Ufaransa.
 
Akili yako haina akili mkuu

Unataka kuniambia Wingereza ilipoyapiga marufuku Baadhi ya mataifa kuingia kwake wewe ulikuwa na miaka miwili siyo?

Hata hivyo, mataifa tulyozuiliwa kuingia huko, tutatembeleana Sisi Kwa Sisi, shida iko wapi
Wewe ndio huna akili ndg, kama unaunga mkono BIG DENIAL inayoendelea hapa nchini kuhusu Covid 19. Narudia tena, ingekuwa una kawaida ya kutembelea nje ya nchi, usingeandika TAKATAKA na kujidhalilisha namna hii. Tembea ujifunze jinsi dunia inavyoenenda. Na log out!
 
Pale Nzega kuna ongezeko si chini ya 20% ya makaburi mapya. Usifurahie ujinga wala usijione fahari kuishi kwenye giza la ujinga.

Mtu yeyote mwenye akili, iwe ni tatizo au mafanikio, hupima kwa takwimu. Ndivyo watu wote wenye akili na walioelimika wanavyofanya.

Tunapoonekana ni Taifa wajinga Ni pale tunapotegemea kauli za wanasiasa badala ya kutegemea tafiti zinazotumia takwimu.

Wengi wamegeuzwa majuha na wanasiasa. Badala ya kuwasikiliza wataalam wanaotumia tafiti na takwimu, wamekuwa watumwa wa matamko ya Rais, ambayo ni absolutely 100% wrong.
Hata kuamka na kwenda kwako chooni ni siasa, kiufupi maisha yako yote ni siasa.

Hata huko kwa beberu zenu mnakowasifia wanaotoa matamko ni wanasiasa,

Hapo Nzega unapopasema wewe usikifikiri unakaa hapo pekeako, tuna ndugu jamaa na marafiki wapo huko, vifo vipo lakini ni kwa rate ile ile ya miaka yote.

Kungekuwa kuna hali mbaya kiasi hicho tuna jamaa zetu wapo huko tungeona picha za makaburi, kwahiyo usitudanganye hapa.
 
No!Wanapaswa kuhangaika na sisi kwa sababu kitaalam virusi vya Corona vikiachwa bila kupigwa vita(Bila chanjo) huwa vinapata uwanja mpana wa kufanya mutations na kuunda variants mbalimbali.Hii ina maana Tanzania itakuwa ni kiwanda cha kuunda variants mbalimbali wa Corona na kuwasambaza dunia nzima kitu ambacho kitahatarisha usalama wa dunia nzima.Kwa hili wana haki ya kuhangaika na Tanzania.
Kuna wajinga wapo hapo juu, hawaelewi hii connection unayofafanua hapa mkuu. Sijui tutumie kugha gani kuwaelewesha. Sisi tunaokwenda nje ya nchi kipindi hiki cha covid tunanyanyasika sana huko mbele, kwa sababu tunaonekana kama carriers, hata kama tunasoma negative kwenye vipimo. Huko mbeleni, kila Mtanzania atawekwa karantini kwa wiki 2 ili ku prive kwamba hana ugonjwa. Ndio mwelekeo tunaouona.
 
Ficha ujinga wako! Umeshaambiwa sisi hatupimi na hivyo hatujui ukubwa wa tatizo tulilo nalo.
Kingine soon Dunia itatutenga kabisa! najua haya maneno huyajui "mutant" na " variant" ndio maana ni ngumu sana kukuelewesha!
Unaweza usijue ukubwa wa tatizo kitakwimu ila kutokana na uhatari wa ugonjwa wenyewe unaweza kuona athari za huo ugonjwa(wingi wa watu kuumwa na vifo) na ukajua ukubwa wa hilo tatizo.
 
Soma vizuri sana na kwa makini comment yangu nadhani utanielewa tu ni nini namaanisha!

Alafu ugonjwa wowote ule uwe wa maambukizi au wakurithi au utakaokupata wowote ule uwa auchagui wakumuuwa kama ni mtoto au mkubwa au umesahau mwaka jana america wale watoto mapacha wa miezi 7 waliokufa na covid habari kamili nenda kai review @bbcswahili
Sasa hizi hoja unaizungumziaje hii kuhusu kwamba africa haija athirika sana corona kwa sababu ina population ya vijana wengi ambao hawaathirika sana na corona?
 
Mkuu unajuaje hatujafa kwa maelfu wakati haturipoti wala kupima wagonjwa wa corona?Vifo vinavyotokea mtaani na kwa wakubwa vinaashiria idadi ya vifo ni kubwa.
Idadi ya vifo ingekuwa kubwa mtaani watu wengi wangezingatia kufuata tahadhari za kujikinga na corona.
 
Wanaokataa chanjo ni wananchi au viongozi?Wao viongozi na familia zao wameshapata chanjo ya Wachina kimya kimya wewe upo unapiga mapambio tu hapo.
Sasa mbona wanakufa na wengine kuponea chupuchupu kama walishapata chanjo?
 
mwisho wa siku watatupa chanjo fo free 😛 😛 😛 , wakikataa tuna wa infect upya na more deadly version! Maana mpaka sasa nahisi apa TZ kila mkoa utakua na aina yake ya kirusi
 
Tanzania ndiyo Taifa la ajabu pekee, lililogeuka kuwa kichekesho cha Ulimwengu wa Sayansi, linalokataa chanjo zilizofanyiwa utafiti wa Kisayansi lakini linaamini mvuke na juisi vinaua virusi vya Covid 19.

Gazeti la Irish Times linaelezea kuwa Waziri Gwajima amewaambia watanzania wanywe juice ya matunda iliyochanganywa na pilipili ili kupambana na corona.

Swali la Kujiuliza:
Umesema corona haipo, hupimi, unajuaje kuwa hiyo juice inasaidia wagonjwa wa corona? Ilikuwa unafanyia majaribio ya wagonjwa wa kutoka mataifa mengine?

Gazeti linaeleza kuwa Taifa lolote lisiloshirikiana na mataifa mengine kupambana na corona, linakuwa hatari kwa watu wake na mataifa mengine.

Habari zaidi soma gazeti la The Irish TimesTanz

-----

Tanzania looks to divine providence as government shuns Covid vaccines

Neighbouring countries alarmed as president deems vaccines dangerous and unnecessary

[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http://www][https://www-irishtimes-com]President John Magufuli: called on citizens for three days of prayer to defeat unnamed “respiratory diseases” amid warnings that the country is seeing a deadly resurgence in infections. Photograph: AP

David Pilling in London, Andres Schipani in Nairobi

Sun, Feb 21, 2021, 15:25

Dorothy Gwajima, Tanzania’s health minister, held a Covid-19 press briefing this month that looked more like a cooking show. Brandishing a blender as an aide added ginger, onions, lemon and pepper to the concoction, she explained that the vegetable smoothie would ward off coronavirus.

Offering no evidence for the claim as she downed a glass, Gwajima said the virus was “ravaging” neighbouring countries but not Tanzania. The east African country of nearly 60 million people had no need of vaccines and “no plans to receive them”, she said.

Her pronouncements echoed the views of John Magufuli, Tanzania’s president, who has declared Covid-19 vaccines dangerous and unnecessary. A devout Catholic, he has said God would protect his nation from the disease.

“If the white man was able to come up with vaccinations, he should have found a vaccination for Aids by now,” he said.

As rich nations rush to vaccinate their populations and poorer countries, including almost all those in Africa, press for supplies of the jabs, Tanzania stands out as a Covid-19 denier and vaccine refusenik.

Its stance not only endangers its citizens but people elsewhere, particularly if mutant strains are allowed to develop in the country unchecked, health experts warn.

Dr Ahmed Kalebi, a pathologist and lecturer at the University of Nairobi in neighbouring Kenya, said the spread of the coronavirus from China showed new pathogens would quickly ricochet around the world. The same could happen if a virus variant emerged.

Although not referring specifically to Tanzania, he warned: “Each country is a danger to other countries because mutant strains can go everywhere. If you have a public health catastrophe in one place, it will have a domino effect in other countries.”

Although Tanzania’s government closed schools and colleges for part of last year, Magufuli has encouraged people to go to work and attend places of worship. The government has refused to release Covid-19 data since May, when its official death toll stood at 21.

The president has even mocked virus testing, saying he was able to fool scientists at the national laboratory by sending diverse samples – including papaya juice and diesel oil – labelled as human blood.

“We have stayed for more than a year without coronavirus, even though none of us here has put on their face mask,” he asserted in a recent speech.

Protective clothing

However, Tanzanians, many of whom wear face masks, have said on social media that they know people who have died after showing coronavirus-like symptoms. Religious authorities and some government agencies have encouraged hand washing in an acknowledgment of the danger.

Magufuli has conceded that some Tanzanians favour vaccines, accusing people of travelling abroad for immunisation and bringing Covid-19 back.

Just this week, Seif Sharif Hamad, first vice-president of the country’s semi-autonomous Zanzibar region, died in hospital after testing positive for Covid. Several Tanzanian parliamentarians have died with Covid-like symptoms and footage online has shown funerals conducted at night with pallbearers in protective clothing.

Doctors in Mombasa, a Kenyan port city, report an influx of Tanzanian patients seeking Covid treatment, raising the fear that any variants circulating in Tanzania could be imported.

Charles Kitima, secretary-general of the Tanzania Episcopal Conference, a grouping of Catholic bishops, said priests had been holding daily funeral masses in recent weeks – a sharp increase on normal levels. Although he could not confirm the deaths were from Covid, he said: “We see people in hospitals suffering from breathing complications, and due to that, they end up dying.”

Magufuli’s pronouncements contrast with the stance of counterparts across Africa, where most governments have taken Covid-19 seriously. Some countries, including Rwanda, began immunisations this week, with others expected to start this month and next – although Burundi, Eritrea and Madagascar, where politicians have also been sceptical of Covid, have not yet ordered vaccines.

Some commentators in neighbouring countries have expressed alarm at Magufuli’s approach. Gado, a Tanzanian cartoonist working in Kenya, published a drawing in The Elephant, a pan-African news platform, depicting Tanzania’s leader taking a steam remedy – another official recommendation – while a green coronavirus character snickers to itself.

“It seems downright irresponsible, if not suicidal for Kenya, for the region and the continent – not to mention the globe – to ignore Magufuli and his like who do not take the pandemic seriously,” said Patrick Gathara, a Kenyan political analyst.

However, the African Union, the World Health Organisation and the Africa Centres for Disease Control and Prevention have been reluctant to criticise Tanzania in public, although they have stressed the importance of reporting data.

Matshidiso Moeti, WHO regional director for Africa, said Tanzania was not co-operating with continent-wide gene-sequencing needed to detect new variants. She said two Tanzanian travellers arriving recently in Britain had tested positive for the 501.V2 variant first detected in South Africa. The UK government has added Tanzania to its “red list” of countries from which entry is barred.

India’s government said this week that one case of the 501.V2 strain had been imported from Tanzania.

Tanzania could pay a high economic price for any long-lasting travel restrictions. With Zanzibar and the Serengeti Game Reserve attracting thousands of international visitors annually before the pandemic, the country depends heavily on tourism, which contributes at least 10 per cent to national output.

Meanwhile even senior figures in the Tanzanian church disagree with the president that their country is protected by divine providence. Masks were more effective, said Yuda Thadei Ruwaichi, the bishop of Dar es Salaam.
 

Ingekuwa umeshawahi kwenda nje ya nchi na kujifunza mambo kadhaa ya kimataifa, usingeandika takataka kama hii. Tunakoelea, hakuna Mtanzania ataruhusiwa kutoka kwenda nje ya nchi, iwe kwa matibabu, masomo, matembezi ama biashara, kwa kuwa hatutaki kuchukua hatua dhidi ya ugonjwa wa corona. Jiulize, ni Watanzania wangapi wanakwenda China na Malaysia ama Singapore kufungasha mzigo? Tukishapigwa marufuku, uchumi utaendeshwaje na kodi zitakusanywa kwenye biashara gani?
akili zao wameziacha migongoni hao. wanachojua ni kusifia hata penye upuzi. ndio maana hii nchi mika na mika iko nyuma sababu za akili za kipuzi za badhi yetu. ongera mkuu walau unajitambua
 
Waa
Tunahatarisha kweli sio utani wenzetu wanapambana sisi tunaleta siasa
Waachane na sisi, kwani lazima waje kwetu?
Wao wanakufa zaidi ya maelfu lakini hawaoni kuwa wamehatarisha dunia ila wameona tanzania tu.
Na hayo makala utakuta yametumwa na zito au tundu lisu na Amsterdam wake.
Mzungu mwenye akiri hana muda na tz
 
Back
Top Bottom