Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Aliamua na mimi kwa kikao cha 21/02/2021 kanisani
Mimi nipo na magu hakuna kirudi nyuma tulianza na Mungu lazima tumalize na Mungu
Hicho ni kikao cha ilani ya CCM ipi?
Kwa kulitumia jina la mwenyezi Mungu kisiasa, hakika hukumu yaja.
 
Vaccines it's their own business we know,they're trying to force each African countries in a bogus contract the price of each vaccine is around 74000 tsh and you need to be vaccinated two times total cost will be around 148,000

But in our country not every citizen can't afford such money so it will be a very big responsibility for our own country if we won't take any measures on these influential and propagandas we might face a very big debt at this moment we might lead our nation into a very big debt,just try to multiply 148000tsh times 59 million citizens it's a lot of money we must be careful

A person being a leader he must be optimistic to his/her citizens but not desperate towards nation
The guy is optimistic he has never given up but we must cherish him

the problem is we want to make our leaders look desperate towards us even the country then who will come and lead us well USA,WHO or EU?

ADOLF HITLER ONCE SAID "PROPAGANDAS CAN BE SPREAD UNTIL MAKES YOU BELIEVE HEAVEN IS HELL AND HELL IS THE HEAVEN"

TANZANIANS LET'S LEARN TO BE TRANQUIL
 
Wewe ndo mji.nga wa kupindukia! Unaongea kama Tanzania iko kwenye sayari yake pekee!
Wewe umeshaambiwa Dunia inataka kuondoa CORONA ila Tanzania haichukui hatua zozote ! Hivyo CORONA virus aliyeko Tanzania ataendekea ku- undergo mutation na kuwa threat kwa Dunia nzima!
Tuliwambia elimu ya Tanzania inazalisha watu sawa na misukule ona sasa mlivyo wengi !
Nyie ( Misukule) mna akili kuliko Israel wanaochanja watu wao!
Swali langu
Kwanini asitengwe aliyeleta corona duniani?
Au corona imeanzia Tanzania?
 
Wewe ndo mji.nga wa kupindukia! Unaongea kama Tanzania iko kwenye sayari yake pekee!
Wewe umeshaambiwa Dunia inataka kuondoa CORONA ila Tanzania haichukui hatua zozote ! Hivyo CORONA virus aliyeko Tanzania ataendekea ku- undergo mutation na kuwa threat kwa Dunia nzima!
Tuliwambia elimu ya Tanzania inazalisha watu sawa na misukule ona sasa mlivyo wengi !
Nyie ( Misukule) mna akili kuliko Israel wanaochanja watu wao!
Waliyoiunda corona wapambane kuiondoa,maana hesabu zimewakataa tatizo limerudi kwao.... NB: KILA MTU ATAKUFA KWA SIKU YAKE NA KWA LAZIMA.
 
Corona ni biashara tu kama ilivyo biashara zingine lengo lilikuwa nikutengeneza gonjwa litakalo idhuru Asia na Africa pamoja na bara la ulaya kwa nchi ndogo ndogo huku G7 wakidhani aitawafikia changamoto inakuja kuona mpaka wao imewagusa na wanahangaika kuuondoa nchini mwao na wakifanikiwa kuondoa watafunga mipaka nakulazimisha serikali za duniani kununua dawa zao za chanjo nakutibu nk ili wapige pesa ulimwenguni.
Usiwe mjinga wa kuamini Kila tetesi. Tumia hata common sense tu.

Mbona mnaamini hizo conspiracy theory za kishamba kishamba bila hata kufikiri? Mnawatoa watu kwenye hoja za msingi kwa propaganda za hivyo kabisa! Sijui mnapata nini?
 
Naona umepaniki kweli kweli? Si tulikubalini hubishani na wajinga na mimi nikasema sibishani na jitu linalo jidharau na kuona lenyewe si mtu bali mtu ni mzungu tu?

Sasa bado unataka nini tena?
Anakujibu kwa kuwa unaendelea na hoja zako za upotoshaji ambazo zinaweka hatarini maisha wa watanzania na watu wengine duniani kutokana na korona.

Halafu umegeuza jukwaa hili kuwa la kwako peke yako! Kila mtu unamjibu wewe...uantumalizia mb bure na maujinga yako!
 
No!Wanapaswa kuhangaika na sisi kwa sababu kitaalam virusi vya Corona vikiachwa bila kupigwa vita(Bila chanjo) huwa vinapata uwanja mpana wa kufanya mutations na kuunda variants mbalimbali.Hii ina maana Tanzania itakuwa ni kiwanda cha kuunda variants mbalimbali wa Corona na kuwasambaza dunia nzima kitu ambacho kitahatarisha usalama wa dunia nzima.Kwa hili wana haki ya kuhangaika na Tanzania.
No!Wanapaswa kuhangaika na sisi kwa sababu kitaalam virusi vya Corona vikiachwa bila kupigwa vita(Bila chanjo) huwa vinapata uwanja mpana wa kufanya mutations na kuunda variants mbalimbali.Hii ina maana Tanzania itakuwa ni kiwanda cha kuunda variants mbalimbali wa Corona na kuwasambaza dunia nzima kitu ambacho kitahatarisha usalama wa dunia nzima.Kwa hili wana haki ya kuhangaika na Tanzania.
 
Ni kweli maambukizi na vifo vinavyotokana na corona, kwa mataifa mengi vimepungua sana kutokana na hatua mbalimbali walizochukua. Mataifa kama US, UK, Israel wamefanikiwa sana kupunguza vifo, japo cumulative number ukiangalia utaona inazidi kupanda. Lakini vifo na maambukizi kwa siku vimepungua kwa kiwango kikubwa sana. Marekani vifo vinapungua kwa wastani wa 40% kwa wiki, UK wamepunguza wastani wa cases 28 kwa siku, Israel wamepunguza vifo kwa 94%. Haya Ni mafanikio makubwa sana.

Lakini kinachowasaidia sana ni ukusanyaji wa taarifa. Huu utaratibu wa kwetu wa kutoakupima na kutoa takwimu ni wa kijinga, kishamba na kimbumbumbu kabisa. Takwimu ni muhimu sana katika jambo lolote. Ndiyo zinakupa picha ya ukubwa wa tatizo, ndizo zinakuongoza kuona kama mbinu zako zinafanya kazi au hapana.
 
Hoja zako nzito na za msingi
Kila nchi ipambane kinamna yake ktk kujiponya mbona hawaisemi urusi iliyokataa chanjo za WHO kutoka nchi zingine na wakaamua kutengeneza chanjo zao kwa watu wa nchi yao?

Kujifukiza ni chanjo yetu tuliyoamua sisi kuitumia so tusipangiane matumizi ya nini tufanye.

Kwa uwezo wakufikiria tu kwa akili ndogo kama hiyo covid-19 ingelikuwa ni tishio kwetu hebu fikirini hawa watoto wetu wa shule za msingi na secondary wangekufaje? Maana hawajui na hawana elimu yakujikinga na maambukizi haya hakuna lockdown hakuna kuvaa barakoa kwa watoto wetu wala ktk shule zao hakuna sanitizer wala maji bomba ktk shule nyingi za serikali.

Tunakila sababu kumshukuru mungu kwa hatua tuliyoifikia na kumuomba mungu atuepushe na hili.

Kuna wajinga wanaokoment humu upumbavu wakuwashadadia mabeberu kila wanayoyasema ilihali usafiri anaoutumia kilasiku ni wa daladala na sibure barakoa avai ana mke mfanya biashara au mfanya kazi anaetumia usafiri huohuo wa daladala ana watoto kibao wanaosoma St Kayumba na kilasiku wanaenda shule nakurudi na kucheza na wenzake kilasiku ya Mungu.

Je usalama kwako upowapi hapo kama hiyo corona ipo kama munavyotangaziwa na mabeberu wa nje ni nani ambae angeweza kupona kwa chain hiyo jinsi ilivyo.
 
Ni lazma mbuz jike amuheshimu beberu
Sisi tulishaamua haturudi nyuma!!

Katika kuamua kwetu kunawale ambao ni Watanzania Kwa nje, Ila Kwa ndani ni mabeberu, tutawalazimisha kuelekea mwelekeo wa Watanzania halisi yaani nje ndani ni Watanzania

Na tutakuwa wa Kwanza kuishinda hiyo biashara Yao ya mauwaji dhidi ya watu

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na hatutarudi nyuma ng'o!! Anayegeuka kuwa mawe na ageuke Ila tutamsaidia kumvusha
 
Back
Top Bottom